Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamisa anado nini kenya? She is not trending. Kwanza hakuna mtu anajua ako kenya ati analala Roysambu alafu interview anafanyia Ebru Tv yet she has a bungalow in Tz.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 879127
Si walisema Kenya ni kibera tu? Pengine analala kibera
 
emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamisa anado nini kenya? She is not trending. Kwanza hakuna mtu anajua ako kenya ati analala Roysambu alafu interview anafanyia Ebru Tv yet she has a bungalow in Tz.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 879127

hahaha........anadoze roysambu hapo kwa ma naija
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] wanajua hawajui

hahahaha.....hahaha...safaricom is owned by tanzanians.... watajua hawajui...

watakwambia hao si watz... ni indians. hahaha.. [emoji23] [emoji23] [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
china Mungu kashawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
china Mungu kashawaona😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇👇👇

mchina ni rafiki yetu, tunaheshimiana kwa sababu kila mmoja wetu ana manufaa kwa mwenzake, wenzetu wanapenda vya bure! Tanzania tuliisaidia china kupata kiti cha kudumu UN, wakati huo nyangau mnaserebuka na nyimbo za mwanakatitu, Tanzania tumewaajiri wachina kwa pesa zetu za ndani kututengenezea flyover ubungo, nyangau mnataka mikopo bila riba kuendeshea serikali! hahahahahahah, Mtumeni kenyata dar akapige magoti kwa mzee MAGU tutaweza kumwombea kwa wachina wawasubirisubiri kidogo!
 
hahahaha.....hahaha...safaricom is owned by tanzanians.... watajua hawajui...

watakwambia hao si watz... ni indians. hahaha.. [emoji23] [emoji23] [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
kuna watanzania wenye asili ya india wenye uzalendo wa dhati na Tanzania hii kuliko hata watanzania wenyewe, eg. prof. shifji, Alnoor kassim, Jamal etc
 
hahahaha.....hahaha...safaricom is owned by tanzanians.... watajua hawajui...

watakwambia hao si watz... ni indians. hahaha.. [emoji23] [emoji23] [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
😂😂😂😂😂 kumbe port of mombasa iliekwa kama dhaman ya SGR😂😂😂😂😂😂
 
Wehu hawa![emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] kutwa wanaimba humu kujicompare na England na US, huku Kibera ikiwasuburia, sasa wanakuja kuporwa port ya Mombasa, Next one Masai Mara[emoji23][emoji23][emoji23]

I see that,sababu ndio mali pekee walizonazo[emoji1][emoji1][emoji1]
 
tayari jpm ameshawasili eneo la tukio.tukio lipo live kwenye tv na online platforms.

wakenya bila shaka kwenye tecno zenyu mme-install app ya azam tv mkifatilia kimya kimya uzunduzi wa flyover.

povu ruksa ni mwendo wa kudungwa sindano tu.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1241][emoji1241][emoji122][emoji122]
Screenshot_2018-09-27-10-17-40-293_com.azamtv.news.jpeg
 
Back
Top Bottom