njaa na malnutrition zipo kila kona ya dunia hata afrika kusini, china, marekani na kadhalika...mtu asikudanganye hata siku moja...tofauti ni degree ya hiyo njaa..thats my take buddy...anyway, my point to your fellow countryman was unapokuja kujigamba kuhusu fastest growing economy unafaa ujue ni kwanini nchi hizo zinakua kwa haraka kiasi hicho... nchi LDC kwa kawaida zinakua kwa haraka kuliko nchi zingine...tazama ethiopia, ni nchi bure kabisa barani afrika ila inaongoza kwa ukuaji wa uchumi...the same applies to those other countries in that list...unapojipata upo kwenye list moja na ethiopia, sierra leone, burkina faso, benin jua hakuna cha kujigamba hapo...