Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it is a cheapest transport in the world, ulikua hujui hio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
wacha mambo na cheapest hapa...sema wengi wengi wenu hawa uwezo wa ku afford ndege...ndo manake wahindi wanawawekea vyuma majini ndo wawachakaze zaidi
 
duh!!we acha tu...hta elimu hawana...wamezoeza kuweka watu km kuku kwenye dala dala zao wanadhani hta kw hvyo vyuma vya majini wanaeza endeleza huwo upumba...
wapiga dili wanauwa watu watu tu majini tu karibia kila mwaka...ila Mungu awasaidie hao wahusika waache tamaa
ulikua unazungumzia modern marine transport ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
likoni baby
6D961432-964D-4AFA-BE64-654C4B2B4C54.jpeg
FB78632E-238E-4294-A365-1593F4FD1E77.jpeg
655A1C04-3E1F-4E5C-9468-A30AC93A9240.jpeg
EC1B95B4-504F-486A-8BA6-321C6373534B.jpeg
 
hakuna ndege yoyote kq inamiliki ndege zote ni leased aircrafts na hakutakua na historia ya kununua ndege cash mpaka yesu ashuke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Haya basi kama wewe ndiye hupeana basi tutakosa ila kama ni Mola tutapata.

Na jambojet?
. N
 
wacha mambo na cheapest hapa...sema wengi wengi wenu hawa uwezo wa ku afford ndege...ndo manake wahindi wanawawekea vyuma majini ndo wawachakaze zaidi
ahahahha aviation industry in tanzania inakua kwa speed ya light tegemea mazuri sana maana kila aviation industry ina grow so usilete maneno yakipuuzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
hakuna ndege yoyote kq inamiliki ndege zote ni leased aircrafts na hakutakua na historia ya kununua ndege cash mpaka yesu ashuke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

wacha kubwabwaja...leta idadi ya ndege zinazomilikiwa na kq alafu unipe idadi ya leased na mwaka pia
 
hehee!!kujifurahisha pia ni mhimu sometimes..bro nenda bongo movie..unaeza kuwa muigizaji mzuri sana kule
 
yani shirika lako ww alaf mm nikuletee data ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ niliwah kusema hapa atakaeniletea link kua kq imenunua ndege cash anitag hapa
 
hehee!!kujifurahisha pia ni mhimu sometimes..bro nenda bongo movie..unaeza kuwa muigizaji mzuri sana kule
within two years jamaa kanunua ndege saba cash my friend๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ sio leased nazungumzia cash payment
 
hakuna ndege yoyote kq inamiliki ndege zote ni leased aircrafts na hakutakua na historia ya kununua ndege cash mpaka yesu ashuke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

sitaki maneno mm..leta idadi na mwaka...leo nmekushika pabaya
 
shirika lako mwenyewe pamabana nalo sina muda wakuanza kukutaftia data wakat shirika ni lenu linaendesha hasara miaka mitano sasa na sababu ya hasara ni leased aircrafts๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Back
Top Bottom