Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio mimi hushangaa na hizi maninja. Mara ohh Nairobi ni ya mzungu ohh Kq ni ya mzungu then I wonder ni nani anaitwa mzungu

mi huwashangaa...mwengine kaja mombasa rafiki wa brazamen..kauliza naskia wakenya weusi maskini wa kutupwa..tukacheka sana...mwishoe kashangaa watu weusi wanamiliki ndinga za kishuwa...tena kilichomshangaza zaidi...kuhusu ukabila..kaone masela wetu ni wq matabaka tofauti tofauti alafu watu wanasaidiana na kupeana support katika ishu za maana..kakaba mwisho kaamua kufunga na kukiri kuwa mengine wanayoyaskia kuhusu kenya ni propaganda
 
Kama unaongelea Tuna weka picha ya nyumba hata moja kutokana TUNA ya msaada mliopewa na wazungu.



the end justifies the means ...shinda hapo............we are not lazy like tanzanians to fail to implement
 
the end justifies the means ...shinda hapo............we are not lazy like tanzanians to fail to implement
Yamekuwa haya tena!!! Kenya does not have the end so we have nothing to justify.
Kenya is moving backward step by step.
 
mtahema kweli....lol
mbs port 2.jpg
momb port.jpg
 
Mbona hilo swala LA wee kuwa mwanamke linakutia wazimu...au unahisi wee ni mwanamke pekee humu...acha mihemuko ya kinyang'au Dada sjui kaka???
Halinitii wazimu mie. Nashangaa maana uchokozi wenu umekiuka mipaka. Swali langu lilikuwa moja tu. Kwa nini nyinyi wanaume wa bongo mna ubaguzi wa kijinsia? Kwani wanawake hawakubaliwi humu?
 
Back
Top Bottom