Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Ati sasa umerusha mistari yako yote[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
jamani si nimeomba msamaha... au mpaka nikufate inbox nikiwa na mashairi mazuri ya kukutongoza ndio unisamehe. [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Shida yao ni inferiority complex
mi huwashangaa...mwengine kaja mombasa rafiki wa brazamen..kauliza naskia wakenya weusi maskini wa kutupwa..tukacheka sana...mwishoe kashangaa watu weusi wanamiliki ndinga za kishuwa...tena kilichomshangaza zaidi...kuhusu ukabila..kaone masela wetu ni wq matabaka tofauti tofauti alafu watu wanasaidiana na kupeana support katika ishu za maana..kakaba mwisho kaamua kufunga na kukiri kuwa mengine wanayoyaskia kuhusu kenya ni propaganda
 
tetea hoja yako km hapo ni nairobi kweli..naona huna jipya...lamba lolo
haya zoom in hii uone maeneo ambayo probably hata saivi upo
vdsa.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Ati sasa umerusha mistari yako yote[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
hahahaha....bado sijarusha... hiyo ni trailer tu.
 
prince williams pia najua lazma atapitia tu kenya....hahaha.saving the best for last
 
wewe naona sai umeishiwa...nenda studio labda utatoka..ila hapa kwangu bado sana...haya nakusubiria tena...ruka ruka ila najuwa ukifika nakutuliza
Hello zero brain. How are you!?
 
Back
Top Bottom