Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mpiga dili mwengine hyo naye...mnaleta picha ambayo hta hamjui imepigwajepigwaje..leteni maelezo kamili kuhusu hyo picha...hya rukeni rukeni..ila kupindisha maneno mnaruhusiwa..hyo kwenu km dili
hahahhahaha eti picha imepigwapigwaje. Kwa hiyo wewe unataka iwe imegigwaje maana nikiangalia hapo naona kasarani, naona Jommo kenyatta convention centre, utaniambia hapo ni mahali pengine ila ni Nairobbery baba
 
1537974078782.png
 
asante kw porojo..next victim..na ukipata hayo maelezo unitag
 
So you can stoop so low editing comments to satisfy your own ego. I am so glad that I won the battle. Just admit it you are so ashamed because a woman challenged you. Kama unadhani utanitimua hapa utashangaa sana sibanduki ng'o. Mwanaume mzima anashindwa na mwanamke mpaka anaedit comments. Aibu iliyoje!
 
Back
Top Bottom