Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe naona sai umeishiwa...nenda studio labda utatoka..ila hapa kwangu bado sana...haya nakusubiria tena...ruka ruka ila najuwa ukifika nakutuliza
tatizo wakenya vichwa vyenu huwa ni vigumu sana. Siwezi kupoteza muda wangu kubishana na wewe so go to hell, it's your loss anyway
 
Kenya is surrounded by LHDI
I would have agreed with you if the government of kenya owned a hospital like this. Nyie ni wajinga sana eti kenya is surrounded by LHDI, wakati mwaka jana tu hapo serikali yenu iliomba madaktari wa tz waje hapo kenya au hata unaelewa HDI ni nini?
kasome kwanza ndio urudi hapa
DSC_0075.jpg
 
View attachment 878876
hahaha.....unless hamjaona KU hospital
 
theres still another berth under construction.........we want to now compete amsterdam port.......no more local ldc fights
port of mbs.jpg
port.jpg
Port-Mombasa 1.jpg
sgr2.png
 
I would have agreed with you if the government of kenya owned a hospital like this. Nyie ni wajinga sana eti kenya is surrounded by LHDI, wakati mwaka jana tu hapo serikali yenu iliomba madaktari wa tz waje hapo kenya au hata unaelewa HDI ni nini?
kasome kwanza ndio urudi hapa
View attachment 878876
Huyu demu Jobless niwa Mathare??🤔🤔
 
Huyu demu Jobless niwa Mathare??🤔🤔
LOL......jobless tanzanian doctors wale waliskia lazma wafanye mtihani ndio waajiriwe wakatokomea tokomeko......hahahaha
that was just a knee jerk reaction to scare the kenyan doctors back to work ....we all know a kmtc graduate can be a doctor in tanzania coz tanzania with grade c you can still do medicine and surgery
 
Twitter handle evidence???...i pity u..that port is small as per your photo
hii tanzania hata tukitoa nairobi plus the metro bado tunawagonga clean.....hahaha.....WE ARENT AN LDC NATION TANZANIANS......wenzenu ni uganda na mozambique
 
jamaa..hebu nipeni maelezo jinsi ya upload picha na video hapa jf..

ichoboy..naona unajitekenya...unatarajia kenya wanunue hvo vitu waeke pale likoni ferry...hvyo ni vyuma vya mwendo mrefu kijana
ukinionesha modern marine kama hzo east and central africa nafunga account jamii forum sasa hvi😂😂😂👇👇👇👇
 
ukinionesha modern marine kama hzo east and central africa nafunga account jamii forum sasa hvi😂😂😂👇👇👇👇
hahaha.......tanzanian vessel kwa maji ni nusu ya kujipata mbinguni au jehanam......"with modern marine" with the highest water casualties in the whole world..............kubalini hali yenu ya ldc kama uganda na burundi mpate nafuu.......hahaha.....msishindane na ndovu kunya mtapasuka
 
Back
Top Bottom