Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenzako ameenda kumeza dawa za ulcers. I think he has never been challenged by a lady in his boring life. Amezoea wanaume hapa ndio maana anadhania mimi ni mwanaume aliyebadili ID ili nihurumiwe.
jamani si nimeomba msamaha... au mpaka nikufate inbox nikiwa na mashairi mazuri ya kukutongoza ndio unisamehe. [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
What a sad story. Wooi watanzania, hii upole yenyu mlidanganywa mkaileta kenya. Nairobi haina huruma kama wewe si mjanja. Hii upole yenyu itawamaliza huku[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Nikiwaona nitakuwa nikitoa kakitu.
na kule nairobi wamejazana omba omba toka tanzania
 
kweli bro..alafu hawa jamaa vilaza kwel..hawafikirii kwenda mbali...ukikaa na mtz kupiga story nakwambi braza utashangaa...mwanzo kw kujidunisha..then kila kitu wao hutoa mfaano na mzungu yani hawajikubali kabisa..
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio mimi hushangaa na hizi maninja. Mara ohh Nairobi ni ya mzungu ohh Kq ni ya mzungu then I wonder ni nani anaitwa mzungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I die
hii i hope haitaua watu elfu mbili.........ferry za tanzania ni 1000 ways to die
 
Hizi ndio zinazama ama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hilo swala LA wee kuwa mwanamke linakutia wazimu...au unahisi wee ni mwanamke pekee humu...acha mihemuko ya kinyang'au Dada sjui kaka???
Mwenzako ameenda kumeza dawa za ulcers. I think he has never been challenged by a lady in his boring life. Amezoea wanaume hapa ndio maana anadhania mimi ni mwanaume aliyebadili ID ili nihurumiwe.
 
port ya mombasa imeconnectiwa to sgr
kwani wewe unafikiri all these years zambian cargo from dar es salaam port inasafirishwaje kwenda zambia?.

rudi kwenye achieve yako uji-upgrade kuhusu TAZARA(Tanzania Zambia Railway Authority).
IMG_20180926_201603.jpeg
 
Back
Top Bottom