Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bra ni vazi la wanawake na ukaichanganya na kiswahili....wewe uwezi niletea ufala yako hapa..unajifanya kujua na hujui any..
Nimekuuliza hiyo ni lugha gani!!? Je ni kiswahili!?
 
Unaitumiaga na kiswahili..na unaclaim kujua kiswahili..maze huwezi nibeba ujinga hapa
Mbona unakimbia kama mwehu, au wewe ni kichaa? Nakuuliza tena bra ni lugha gani ili nielewe!!? Au wewe ni kichaa!?
 
Dar city
Dar1.jpg
Dar2.jpg
 
Mbona unakimbia kama mwehu, au wewe ni kichaa? Nakuuliza tena bra ni lugha gani ili nielewe!!? Au wewe ni kichaa!?
Si unaitumiaga na kiswahili unasemaga usiletewe bra bra bra....Sa si nilugha yako falai
 
Si unaitumiaga na kiswahili unasemaga usiletewe bra bra bra....Sa si nilugha yako falai
Mbona unabweka bweka tu bila hata kuongea lolote. Nakuuliza mara nyingine mwehu wewe bra ni lugha gani!?
 
Hakuna lugha duniani inaitwa sheng labda chang'aa.
Vilevile wewe siyo muingereza wakuweza kusahihisha lugha ya kingereza. Mimi ni mswahili ndio maana nakueleza kiswahili sahihi.
Kwa kifupi: Hujui kiswahili na vilevile hujui kingereza upo upo tu kama tukunyema.
swadakta hebu waambie kati ya tanzania na wapi wanaongea good english..?.. japo kwa wabongo english si misingi yetu
 
Unaniuliza lugha wewe hutumia..ona hii ngombe...Mimi najua bra kwa English but unaitumiaga na swa
Sasa kama unaijua kwa English kwa kiswahili unaijua!!? Mbona unaropoka kama umekunywa nchang'aa. Kwikwikwikwi.
 
Ukisoma history ya kiswahili ilitokea waarabu si ati ni lugha ya babu zako wa zamani...elimika na uwache ufala man
ha haa haa kila kitu kina mchango wake aya kama hyo history iliyokudanganya kama kiswahili sijui kimetokea uharabuni mbona hao waarabu hawajui kiswahili hata kidogo .....mtu kama wew ndye yule anayeamini history kama binadamu alikuwa nyani hebu jiongeza kila lugha duniani ni vitu vilivyozuka tu....mwalabu asili yake ni kiarabu na mzungu asili yake english ......vinginevyo ni baadhi ya muingiliano wa maneno kidogo history isomwe lakini si kila kilicho kwenye history ni sawa jiongeze
 
we unajua kwamba lugha ya Kiswahili lianzia Kenya?
ha haaaa history yenu inawadanganya sana wazee wa kuhamisha......Tanzania ni sehemu ambayo hapa duniani inahistory kubwa na ndefu ila vingi havijajulikana ......eti kiswahili chaanzia kwenu ....kweli warabu waliwatawala na kuwajengea uko baada ya wazungu
 
Ni slang msee...wewe juzi ulikua unasema 'bra bra bra' hio pia ndio kiswahili...uachange kujifanya mjanja na wewe pimbi wa mwisho
mnatuharibia kiswahili bora uongee lugha ya mkoloni na ukiikosea nayo tunakukosoa
 
Back
Top Bottom