Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #11,821
Andika kiswahili fasaha. Andika hivi: "dhani" "kudhani" "anadhani" "unadhani" nk. Kiswahili kinakupiga chenga.Hahaha hivo ndio unadani...unadani tutawai heshimu DarSLUM mko ligi ya Mombasa ni cbd tu mmewachapa suburbs na vi2 zingine wako mbelee..
Nairobi iko ligi ya Cairo,Capetown na Johannesburg... Lagos nayo hukua ovyo kila MTU anajua hiyo.
Wewe endelea kudhani tumetishika towers mbili haiezi tisha JIJI la Nairobi

