Boga katika ubora wake,Sasa ntapenda nini hapo..hamna underpass,hamna fly over ,city haina Maua,city ni ugly inaeza itwa concrete slum
Fly over..Nakuru kuna tatu? Maua niya beauty....underpass ni infrastructure Kali msee...city si tower mbili 2Maua ni ya nyuki. Underpass za nini!? Sisi ocean pass myie mnazo huko Nairobi!!?
Nyie mnayo kitu hii adhimu!!?
View attachment 495457
Maua ni ya nyuki. Underpass za nini!? Sisi ocean pass myie mnazo huko Nairobi!!?
Nyie mnayo kitu hii adhimu!!?
View attachment 495457
Wivu...hahaNairobi Design ya kizamani sana. Majengo ya kishamba sana, yaani kama magofu
Btw KICC ilijengwa 1970's na iko na architectural design Kali AfricaNairobi Design ya kizamani sana. Majengo ya kishamba sana, yaani kama magofu
Hii ndio underpass hautawai iona maisha yako yote unless ukam naiNairobi Design ya kizamani sana. Majengo ya kishamba sana, yaani kama magofu
check walivyopendeza ...tukileta kenya hao wanasafisha miji yote inakuwa salamaKikosi cha Police TZ in Dar
View attachment 495464
Kwikwikwi hiyo underpass au handaki. Ndiyo unajisifia hicho. Nimekuuliza nyie mpo na Daraja tamu kama la Nyerere Bridge Kigamboni!!?Hii ndio underpass hautawai iona maisha yako yote unless ukam nai
![]()
![]()
![]()
![]()
Tower mbili tu inakufanya uchuzike...lolNairobi Design ya kizamani sana. Majengo ya kishamba sana, yaani kama magofu
Kwikwikwi hiyo underpass au handaki. Ndiyo unajisifia hicho. Nimekuuliza nyie mpo na Daraja tamu kama la Nyerere Bridge Kigamboni!!?
Kwikwikwikwi. Nyie mnasehemu za Starehe kama Dar.
Nyie mnaweza ku part kama tunavyofanya Dar!!?
Check hii video kisha urudi shimoni kama panya
Kwikwikwi hiyo underpass au handaki. Ndiyo unajisifia hicho. Nimekuuliza nyie mpo na Daraja tamu kama la Nyerere Bridge Kigamboni!!?
Kwikwikwikwi. Nyie mnasehemu za Starehe kama Dar.
Nyie mnaweza ku part kama tunavyofanya Dar!!?
Check hii video kisha urudi shimoni kama panya
Sema na sisi tutasema vitu kibao. Utasema National park sisi tupo na Game reserve na Zoo kibao.Falai bridge ziko Mombasa na kwale...unaona ukianza kulemewa unaleta ujinga nikikuambia sai mko na national park utasema nini
Hatutaki matusi ukizidiwa unapiga kimya we vp fly over ndio zakizamani subiri za bongo zikikamilika mwakani alafu utaona za kisasa tena zote tatu kwa wakatiFalai bridge ziko Mombasa na kwale...unaona ukianza kulemewa unaleta ujinga nikikuambia sai mko na national park utasema nini