Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Would be happy Kenya, Tanzania, Uganda na Ethiopia ziwe kama Spain, France, Italy na Germany. All developed. Sijataja Somalia, hao wana kazi nyingi
somalians are your northern brothers and they are also part and parcel of kenya.
 
wachina wanadharau sana daaaaaah😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hvi kiakili hapo tofaut ipo kweli hahahahahha😀😀😀😀😀
wachina sio watu wazuri kabisa hawafai
SGR-train-Kenya-2.jpg


sgg.jpg
sema laki old school sana hilo tren inabidi liwe lapakwa rangi mara kwa mara
 
sema nawapa hongera wakenya woote na government kwa ujumla ....mnaweza tuendelee na ushidani mwanzo mwisho hii EAST AFRICA hatuna vita bali nikupeana fact tu na utani mwingi......ivyo mtanzania tukiwaita wakenya vikojozi msichukie na sis mkituita hivyo hivyo hatuchukii.....

kinachofuata nafukuzia manzi mmoja wa ukweli wa kenya ili nije kuwa shemeji yenu


[HASHTAG]#DEPAY[/HASHTAG] upo apo
 
Toa ujinga wewe ina maan wewe unajua kiswahili kuliko mimi. Nenda kajifunze kiswahili ndio uje hapa. Ugolo unaitwa chewing tobacco kwa kingereza. Nenda basi kajifunze hata kwenye google translator.

Annal,, apa ulini murder,,, heheheeee
 
Hahaha Kenya mjipange kivingine, yani Ilo ni gap kubwa sana ikiisha hyo hamtakua na cha kuongea kuhusu sgr, tutakua tunapiga story na wamorocco na south hao ndio watu tutaongea na kubadilishana uzoefu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Iyo ni mwiba wtz hatupendi mazoea kuzoeana na nyang'au [emoji13][emoji13]
we had already set the pace before. while zetu zinafanya tests barabarani, nyinyi bado hamujaweka hata jiwe moja la msingi. btw, sgr yetu inaanza rasmi mwezi wa sita. thats approximately 1 & 1/2months from now. Msa to Nbo. Tieni bidii.
 
One Africa place, already same level with Delta Towers, this gonna be spectacular!! AVIC is at the heels coming up with the same speed!!
33182755623_f02b0f87b8_b.jpg
 
Sasa hivi vijana wa Nairobi wanakuja kwa adabu. Wamekuwa wapoleeee sana.
Nadhani sindano hii imewaingia kisawa sawa na dawa imeingia kwenye mishipa.

Ushamba wao sasa umekoma.
 
Sasa hivi vijana wa Nairobi wanakuja kwa adabu. Wamekuwa wapoleeee sana.
Nadhani sindano hii imewaingia kisawa sawa na dawa imeingia kwenye mishipa.

Ushamba wao sasa umekoma.
Hahaha hivo ndio unadani...unadani tutawai heshimu DarSLUM mko ligi ya Mombasa ni cbd tu mmewachapa suburbs na vi2 zingine wako mbelee..
Nairobi iko ligi ya Cairo,Capetown na Johannesburg... Lagos nayo hukua ovyo kila MTU anajua hiyo.
Wewe endelea kudhani tumetishika towers mbili haiezi tisha JIJI la Nairobi
 
Back
Top Bottom