Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dogo tunampeleka macha mchaka. Hajui vizuri Dar anaisikia kwa wakenya wenzake wazembe.
Anawaza Tanzania ya 90s hehehehe alafu sio dar tu mikoa yote zaidi ya 27 imeamka na zinajengeka kwa speed zote hehhhehehehe 2017 hiiii
 
Ulikua unaclaim kuna tower proposed ya 60 floors uwongo zako zisipendi man
Kwani Natinal Park ya Nairobi na Zoo ya Dar es salaam tofauti zake ni nini!!? Mbona hakuna tofauti wewe.
Dar es salaam Zoo noma sana wewe. Unakaribishwa uje kutembelea uone.
 
Kwani Natinal Park ya Nairobi na Zoo ya Dar es salaam tofauti zake ni nini!!? Mbona hakuna tofauti wewe.
Dar es salaam Zoo noma sana wewe. Unakaribishwa uje kutembelea uone.
Google meaning ya zoo na national park na siko hapa kukufunza
 
372ae603580c874522921549561c7e71.jpg
e3860d2c6e0242ee76456fe5912497cb.jpg
 
Google meaning ya zoo na national park na siko hapa kukufunza
Kwikwikwikwi. Dar es salaam Zoo inakaribiana na Nairobi National park.
By the way Dar kuna Marine Reserves nyie zipo!!?
Check dogo ila sharti usitoe mapovu mdomoni
pangavini1.jpg
2010_08_11_13_28_24_070.jpg

Hawksbill800.jpg
 
Dar es salaam. Utaipenda tu hata kama unawivu kama wakenya. Wakenya ni washamba sana.
D4.jpg
D1.jpg
D2.jpg
D3.jpg
 
Wewe kwanza niambie iyo 60 floors unasema proposed
Nenda kwenye thread husika ukaulize hilo swali. Hapa sio mahali pake. Unaona sasa ulivyo mwehu. Hujui hata swali umeulizia wapi. Kwikwikwikwi. Ila povu hatutaki, uwe mvumilivu tu wakati sindano tunakuchoma.
 
LOSERRRRRR BIG LOSERRRRR U ARE A BIG LOSERRRR .UMESHINDWA WEWE
 
Iyo iko mombasa, kwale,lamu etc....Nairobi haiko oceon ...we niambie proposed 60/floors dar
Kwikwikwi nimekuambia wewe ni mwehu. Nenda kwenye thread huzika kisha uliza swali hilo.
Sasa mambo ya Lamu na Mombasa yametoka wapi hapa!!?
Kwahiyo tusikuneshe uzuri wa Dar es salaam. Ukiongelea Dar es salaam ni pamoja na:-
1. Beaches
2. Islands
3. Boats
4. BRT
5. Nyerere Bridge
6. Coral reefs
7. Peninsulas
8. TPA and PSPF Towers
9. Ocean
10. Dar es salaam zoo etc

Sasa wewe unataka tusikuoneshe Dar ilivyo. Dar ni tamu kila kona. You will never beat Dar es salaam in any angle.
 
LOSERRRRRR BIG LOSERRRRR U ARE A BIG LOSERRRR .UMESHINDWA WEWE
Uwe mpole tu mgonjwa wangu wakati nakutibu. Nakuchoma sindano za kutuliza maumivu ya ushamba. Ila ninapokutibu povu sitaki utoe.
 
Back
Top Bottom