Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kwanini Serikali ya Kenya
isiongeze Kibera kwenya vivutio vya utalii nchini kenya!!

Maana watu wanaenda kutembelea kule
kuona jinsi Makazi ya Mbwa kuishi binadamu!!
Aibu itakua sasa kwa nairobi wao wanakwambia class city alaf iwe na slums ambazo hakuna duniani hahhahahahhaa itakua bonge la soo na noma kilo 10 hahhahahaha wazee wa sifa hao wazee wakuhamisha visivohamishika hahaahhahaha
 
Kuna jengo linajengwa njia ya kupitia Old Bagamoyo road (Mwaikibaki road), karibu na eneo la Warioba. Nitapiga picha na nilete hapa.
 
Aibu itakua sasa kwa nairobi wao wanakwambia class city alaf iwe na slums ambazo hakuna duniani hahhahahahhaa itakua bonge la soo na noma kilo 10 hahhahahaha wazee wa sifa hao wazee wakuhamisha visivohamishika hahaahhahaha

halafu bora hizo slums zingekuwa mbali na mji.karibia zote zipo jirani katikati ya jiji.

mfano ni kibera.yenyewe ipo kiliomita 5 tu kutoka city center ya nairobi.big shame.

ushahidi huu hapa[emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]


kwa wale wanaofahamu vizuri jiografia ya jiji la dar,hiyo kilomita 5 ni distance ya kutoka kituo cha bus posta town hadi kinondoni morroco.

vuta picha kinondoni morroco ndio ingekuwa slum.wakenya wangetucheka sana.tungetafuta pa kujificha wallah.

ushahidi juu cha distance ya kinondoni morroco to posta huu hapa.
[emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu wenzetu hawa wanajishaua kweli.
 
umbali toka slum ya mathare kwenda ktk mtaa maarufu katikati ya jiji la nairobi unaofahamika kama kenyatta avenue,ni kilomita 5.4.
kwa gari ni mwendo wa dakika 12 tu.
ushahidi huu hapa.

aibu jamanii...yaani wakenya licha ya ujuaji wenu wote wa kuzungumza kingereza kumbe mji wenu upo umbali mdogo na maeneo ya slums?!!.pathetic.
 
ni machos tu!
Duh Nairobi iko mbalii sana sio ya kufananisha na Dar... kwa kuanzia tu hio airstrip ya JKN huwezi linganisha kabisa na Jomo Kenyatta International Airport.. ukija kwenye road map.. ooh my god wenzetu wako mbali mno mazee!
 
watazima aisee mpaka huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…