Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zero, kwanza to some extent Westi imeshinda posta, I'm talking of Hotels, Malls and high end Suburbs hapo posta haiko kwa map.View attachment 864459
F37B9634-E8D1-4AEB-ABDC-CB2D15D8BD8D.jpeg
 
ukipanda matatu zao, 80% ya miziki inayopigwa kwenye matatu ni miziki ya nje ya kenya nayo ni bongofleva na jamaican riddim.

radio station zao pia hali ni hiyohiyo mpaka kuna baadhi ya wanamziki wao huwa wanalalamika kwamba media ya kenya hai promote wasanii wa ndani.

yaani mkenya anaweza akajenga urafiki na mtz akamsaidia kuliko kumsaidia mkenya mwenzakw...labda awe wa kabila lake.
A kenyan must just love reggae its installed
 
Kwa sasa Tz kwenye ishu za majengo classic tukae pembeni tuwapishe wakenya hawana mdhindani labda tubaki kupost huduma za afya kama mahospitali na sgr ambayo haina uhakika kukamilika
 
English language helped you nothing..
You can't even try to relate your brain to think for yourself,burundi and malawi ain't in the list,so Kenya is in the same level with 'em!!
But Ethiopia is,can you compare your roasted economy to them??but I know your problems,you are confused when you see an article written in english..!!
I have no fucking idea what the hell you are talking about..i will study and review your concerns en' will get back to you,if you dont hear from me in two weeks probably you are stupid because there is nothing to respond about.
 
Back
Top Bottom