Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

by the way,,, is there dancehall music in Tzedi ama nyinyi ni tukimbizane niini Salome wangu music tu?

Dancehall sio music ya tz tunayo ya kwetu inaitwa bongoflavour.

Nyie mmerukia dancehall ya jamaica.mhhhhh
 
CBD ni hii
IMG_20171130_114108_202.jpg


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa Tz kwenye ishu za majengo classic tukae pembeni tuwapishe wakenya hawana mdhindani labda tubaki kupost huduma za afya kama mahospitali na sgr ambayo haina uhakika kukamilika

Mdhidhani ni msamiati mpya katika kiswahili.

Baada ya kuolewa kenya dada zetu wengi huwa mnatusaliti mnakuwa na mentality za kikenya kudhani mmeweza.
 
Ethiopias Economy is at 86bln as kenya 85bln. Sasa difference kubwa hapo ni gani?? Nyinyi mko sijui 40bln na mnarusha rusha mdomo hapa kama wamama wasoko. You guys need to rediscover yourselves bure mnakimbiza upepo.
86bln USD to cooked 85bln USD you can't see the difference????..
It's not your problem, as i told you before!
 
I have no fucking idea what the hell you are talking about..i will study and review your concerns en' will get back to you,if you dont hear from me in two weeks probably you are stupid because there is nothing to respond about.
I can guess,you've got something wrong upstairs,you always post shits!!..i wonder if all Kenyans are of your type!!!!
 
by the way,,, is there dancehall music in Tzedi ama nyinyi ni tukimbizane niini Salome wangu music tu?
Dancehall za Africa ni mbaya sana unaweza kutapika ukisikikiza,kama zile za uganda aiseee ni mbaya sana bongo hatusikilizi ngoma za ovyo ovyo!!
Na yule jamaa yenu anaitwa wyre..sijui anaimba nini yule jamaa sijawahi muelewa!
 
tutajenga/ tutanunua kwa pesa zetu >>>>
Bank of Tanzania refuted social-media allegations about printing notes valued at 1.5 trillion shillings ($655.9 million) for the government’s use - Bloomberg

 
Nyashinski ameishikilia..ilikua inadedi
nyashinski haimbi kapuka....style yake ni kama bongofleva ya kina diamond na kiba. mwanzo kabisa akiwa katika kundi la cleptomaniac alikuwa anarap.


sasa hivi karibia vijana wote wa mziki kenya wanaimba style ya bongofleva.

kuanzia sudi, bahati, willy paul, otile brown nk.
 
nyashinski haimbi kapuka....style yake ni kama bongofleva ya kina diamond na kiba. mwanzo kabisa akiwa katika kundi la cleptomaniac alikuwa anarap.


sasa hivi karibia vijana wote wa mziki kenya wanaimba style ya bongofleva.

kuanzia sudi, bahati, willy paul, otile brown nk.
Nyash Uses pure sheng he hates Bongo flava and would sing such crap..
 
Back
Top Bottom