Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimeuliza tu. si kwa ubaya.
miaka ya nyuma wakati mziki wa tanzania ulipokuwa unapitia katika transformation ya kutafuta recognition, dance hall ilikuwa ipo juu sana.

ila kwa sasa dance hall imetoweka kabisa.haipo.
 
don't generalize. am a Metal fan. i don't do hip-hop or reggae/ragga/dancehall, bongobongo shit
Sikia Lewis, hata ukitazama K24, Citizen, KTN, Kass, KBC and the likes kwa wiki havikosi vipindi ya Jamaican Rhythm wanakaa zaidi ya 3 hours on air ni ushuzi wa Jamaica tuu
Kwahiyo hii kasumba ni lzm u generalize the whole Kenya
 
same same things with different names.......we know your tiny developed strip .......hizi uongo mmetuchosha nazo
Sasa wewe monkey uongo gani kuna UPANGA EAST NA UPANGA WEST hapa dar es salaam jaribu google map uone naona unachanganyikiwa na maeneo ya dar
,Dar kubwa jomba siyo kanairobi unatembea SAA 1 umesha imaliza
 
Sikia Lewis, hata ukitazama K24, Citizen, KTN, Kass, KBC and the likes kwa wiki havikosi vipindi ya Jamaican Rhythm wanakaa zaidi ya 3 hours on air ni ushuzi wa Jamaica tuu
Kwahiyo hii kasumba ni lzm u generalize the whole Kenya
haha. it depends na 'market audience' yao. kuna watu hawapendi mainstream media so hutawapata waki-watch hizo vipindi. mi hu-stream my music online, zenye hunibamba huwa sisiti kuzi-download.
 
heavy metal ni mziki wa keshatani.

mziki huu umechangia sana kuharibu vijana wa kizungu kwa kuingia katika ushoga, matumizi ya dawa za kulevya na mauaji.

okaaay
so bongo hakuna dancehall artists?!?!?
ni mwendo wa kukimbizana na Salome tu? 😀😀😀
 
endelea kusikiliza Amber Lulu tu.
mimi ngoma zangu ni rumba na sebene za kikongo. napenda kusikiliza muziki ya generation yangu.

hawa ndio watu mimi hupenda kusikiliza kazi zao nikiwa nimechil kwa bar au nikiwa na-drive: fally Ipupa, ferre gola, wenge bcbg,wenge maison mere, madilu system, koffi olomide, werrason, jb mpiana and the likes.

huyo amba lulu sio wa generation yangu so siwezi kusikiliza mziki wake.
 
haha. it depends na 'market audience' yao. kuna watu hawapendi mainstream media so hutawapata waki-watch hizo vipindi. mi hu-stream my music online, zenye hunibamba huwa sisiti kuzi-download.
But bro, try to listen Bongo Flava deeply utaipenda nakuapia
Bongo kuna talents buda sio utani our Bongo Flava akina Nigerians wanaijua vizuri so usiichukulie poa,
 
mimi ngoma zangu ni rumba na sebene za kikongo. napenda kusikiliza muziki ya generation yangu.

hawa ndio watu mimi hupenda kusikiliza kazi zao nikiwa nimechil kwa bar au nikiwa na-drive: fally Ipupa, ferre gola, wenge bcbg,wenge maison mere, madilu system, koffi olomide, werrason, jb mpiana and the likes.

huyo amba lulu sio wa generation yangu so siwezi kusikiliza mziki wake.
safi sana. nashindwa mbona umemsahau mzee Franco Luambo Makiadi. aina hio ya mziki huwa haipandi kichwani mwangu
 
😂😂😂👇👇👇
150FE9E3-7EE5-44FD-A194-A53AFED65B25.jpeg
 
Back
Top Bottom