LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,300
- 1,042
Jamaa kazidi hata ushamba ni boya tu!Tatizo wewe ni mshamba sana, hujazunguka dunia unazungumza bila kujua unachokisema, Nenda Japan, Europe na USA walivyo na barabara pana, flyovers na underground transportation system lakini foleni haziishi, hivi kwanini unadhani walibuni BRT na light urban railways?.

