Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio ndefu kilimani na ina 25floorView attachment 864343
How the hell can you compare kilimani to sijui mapanga na vijiko za nyama???
azcr7dizg8afa59e1ca5e513dd.jpg
 
S

Spot on! Jamaa ni jokers sana! kuna wengine huwa wanajifanya wanadharau sana kiswahili, ila cha ajabu hata ukiongea nao hiyo English pia wanachapia dahhh!

Honestly, kuna marafiki hawa wazungu waliniambia ninyi wa Tz mbona hamuongeagi sana English kuliko hawa wa ke, ila tunawaelewa sana nyie mkiongea kuliko hawa, nikacheka sana!
miaka ya zamani vijana wa kikenya waliokuja tz kutafuta maisha walikuwa wanaitumia english kama mtaji wa kupata ajira ya ualimu katika shule binafsi nchini.

ila siku hizi hakuna tena mambo kama hayo, serikali ilipitisha sheria/kanuni zinazotowa masharti kwa wamiliki wa shule binafsi kuhusu kuajiri walimu wageni.

nakumbuka ilifika wakati hata vilaza wa kikenya waliofeli masomo ya sekondari na vyuo,wakija nchini wanapata ajira ya ualimu kisa tu wanajua kingereza. hii hali haipo tena kwa sasa.
 
Sawa nimeelewa posta imekatwa vipande ndio kuwe na upanga sio?
Hapana, Posta ni ile CBD yenyewe ya Dar but when you talk about Upanga ni habari nyingine tofauti kabisa na Posta thus why kwa ukubwa wa Upanga ikagawanyika East and West of it
 
by the way,,, is there dancehall music in Tzedi ama nyinyi ni tukimbizane niini Salome wangu music tu?
Actually Bongo Flava ndo kila kitu kwetu, tatizo lenu wakenya mko fake sana kwa kila kitu
af mnatukuza sana Jamaican Rhythm

Tz wapo wachache wanafanya Dancehall ila sasa haina soko, 8 years back walikua akina Benjamin
 
Actually Bongo Flava ndo kila kitu kwetu, tatizo lenu wakenya mko fake sana kwa kila kitu
af mnatukuza sana Jamaican Rhythm

Tz wapo wachache wanafanya Dancehall ila sasa haina soko, 8 years back walikua akina Benjamin
don't generalize. am a Metal fan. i don't do hip-hop or reggae/ragga/dancehall, bongobongo shit
 
Actually Bongo Flava ndo kila kitu kwetu, tatizo lenu wakenya mko fake sana kwa kila kitu
af mnatukuza sana Jamaican Rhythm

Tz wapo wachache wanafanya Dancehall ila sasa haina soko, 8 years back walikua akina Benjamin
ukipanda matatu zao, 80% ya miziki inayopigwa kwenye matatu ni miziki ya nje ya kenya nayo ni bongofleva na jamaican riddim.

radio station zao pia hali ni hiyohiyo mpaka kuna baadhi ya wanamziki wao huwa wanalalamika kwamba media ya kenya hai promote wasanii wa ndani.

yaani mkenya anaweza akajenga urafiki na mtz akamsaidia kuliko kumsaidia mkenya mwenzakw...labda awe wa kabila lake.
 
Back
Top Bottom