Zitaje nisikie hehehheehhehe kisumu au mombasa yani kwangu mm kisumu na mombasa hazijafikia kiwango ya kuitwa city bado sana hahahhahhahahahah kweli city taxi baiskeli hahahhahhahh amazingBongolala mtaendelea kulala tu..nyinyi dar pekee mnajivunia sisi tukiwa na +10 mega towns
Kwani nani hajui kuwa kenya kuna sehem za ovyoovyo kuliko dsmTatizo ni kwamba wanakataa slums kwao so tunaonesha uhalisia wa nairobi pia sio wanatupigia sehemu iliojengeka 120 km sq wakat iliobaki 576 km sq ni slums na huku wanaishi maisha ambayo sijawah kuyatia machoni toka nimezaliwa mm
Ndugu elewa hapa tupo kwenye battle. Tunaingelea maslahi mapana ya nchi yetu ikiwemo utalii.Kwani nani hajui kuwa kenya kuna sehem za ovyoovyo kuliko dsm
The insue apa ni kuonesha mji ulivyo mzuri asa kwa ongoing projects
Apa ni kuichana nairobi kimya kimya bila hizo screenshort
Kama umefika nairobi utakubaliana ni kamji kadogo sana na kenye majengo katikati ya mji tu sema kaepangwa vizuri. Ndo maana ukiangalia aerial view yao ni nearler uku aerial view ya DSM ni ya juu sana kiasi kwamba vijengo vinaonekana vidogo mno
Hawa warani wetu tunawapiga kimyakimya
Over20flr niliisimamia mwenyeweku argue na uyu msee ni ngumu. nime give up naye, only 2towers ndani ya Tanzania, matako yake yanalia mbwata. over 20floors ameshindwa kuproduce na Nairobi zenyewe you will lose count. sasa amelia sana anataka aletewe below 20floors, seriously?????
Red Birgade girl vipi Soma hapa kuhusu red brigadeNairobi ni jiji KUBWA sana East Africa........
Msikie huyu naehehehehe. ww ndio mkweli kabisa. hii thread nzima, hakuna mKenya yeyote anayepost picha mbaya za Tz. hakuna aliye perfect. but ukweli kabisa Kenya iko mbele sana. Tz nzima ni towers mbili tu. kama hii thread ingefungwa saa hii, kisha utafiti ufanyike, utapata waKenya ndio waliopost content nyingi zaidi na kupata walk-over. bila pingamizi
Unganisha2 humu tumekuruhusuHii trend iishe hapa....tuanze dar vs Mombasa
Slum hizo umeziona hhahahahahhaahahMimi sinaga wivu ka wewe sasa naeza umizwa na dar? Naeza umizwa na slum???? Aje sasa???
Nyako maber uraban city area dar is 1590 km sq na nairobi is 696 km sq so akili kichwani mwako hahhahahhahahahah😀😀😀😀😀Nairobi ni jiji KUBWA sana East Africa........
[emoji23][emoji23][emoji23]floods in nairobi😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hio ndio planned city 😀😀😀😀😀😀😀
View attachment 494226 View attachment 494227 View attachment 494228 View attachment 494229 View attachment 494230 View attachment 494231 View attachment 494232 View attachment 494233 View attachment 494234 View attachment 494235
Hio project ya NHC na iko mbioni kuanza anytime from nowHivi kuna mwenye ufahamu kuhusu ujenzi wa hii mall?View attachment 494347View attachment 494348
Dah!!!!! Dar nzuri sanaMorocco Terminal and Morocco Square 11 Apr 2017. Dar es salaam
View attachment 494313 View attachment 494315 View attachment 494316 View attachment 494317
inajengwa mitaa gani hii kaka?.noma sana hii kitu.Hivi kuna mwenye ufahamu kuhusu ujenzi wa hii mall?View attachment 494347View attachment 494348
From Morocco Bagamoyo Road 11 Apr 2017. Dar es salaam Tanzania
View attachment 494318 View attachment 494319 View attachment 494320
Goood anaelBagamoyo road leo 11 Apr 2017. Dar es salaam
View attachment 494321 View attachment 494322 View attachment 494323
Maneno ya wakosajiSi umerudia hizo staff Mara mob man hauna ki2 ingine
Hivi kwanini Serikali ya KenyaSlum hizo umeziona hhahahahahhaahah
View attachment 494352
Maeneo ya bagamoyo road I thinkinajengwa mitaa gani hii kaka?.noma sana hii kitu.