Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

shihtle country
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
😱😱😱
DlRcXMzXcAACIty.jpg
Haha Morgan amekuwa Koffi?
Aibuuu
 
Wow! that is nice,my nagging question is despite all this facilities have you won any major tournament or have you ever represented Tanzania in African cup of Nations as a country or have any of your teams won any cecafa tournament after 2010.
Hao hao Azam ni CECAFA champions two years in a row. Wamebeba hilo kombe this year. U17 CECAFA champions ni TZ, we took the tittle this year in Burundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vitu vingine muwe mnafanya kwanza research kabla hamjaandika.

it's true belgium league isn't that big compared to spain, england or germany premier leagues lakini pia sio league ndogo ambayo unaweza ukailinganisha na league ya kenya, tanzania, rwanda au uganda.

market value ya league ya belgium ni euro 112 million, takribani ksh 13042586221.41

kwa mazingira ya kikenya hizo si fedha haba,zinaweza kujenga mashule na mahospital na change ikabaki unless otherwise corruption ichukue nafasi yake, maana wakenya kwa corruption hakuna wa kushindana nanyi EA.
View attachment 846023
Ni ligi ya 6 kwa ubora Ulaya ukitumia takwimu za club zao na National team zinavyo fanya in international sphere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikukumbushe tu kwa EA, tanzania premier league ndio league inayoongoza kwa market value na ndio league inayovutia wachezaji wengi toka sehemu mbalimbali africa kuja kucheza kwasababu wanalipwa mishahara mizuri.

na tukija kwenye top five football derbies in africa,the derby between simba vs yanga or vice versa, sits at number five.
View attachment 846054
5 of Africa's fiercest derby rivalries | TRUE Africa
Baadhi ya wachambuzi wana sema ni ya 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom