Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nakukumbusha tu najua umesahau😂👇👇

dar ina watu million 5 na city area ni 1600km sq

nairobi ina watu 4.5million na city area 696km sq
Yeah, (dar sluum)90% * 1600 kmsq = 1440 kmsq ya slums ( kubwa zaidi kuliko hata Nairobi mzima)
😱😱😱
 
nakukumbusha tu najua umesahau

dar ina watu million 5 na city area ni 1600km sq

nairobi ina watu 4.5million na city area 696km sq
Ni shida kwa jinsi city ya nairobi ilivyopwaya na kwa jinsi city yao ilivyo ndogo na watu ni wengi napata mashaka huwa idadi yote ya raia waliopo nairobi wanaishi wapi....?..

Maana wanakujaga na estate ambazo ni chache kulingana na population yao
 
Hata Chelsea, the second biggest team in London, wanatambua Nairobi ndio kusema hizi upande View attachment 832845
West Africa - Lagos, Nigeria
Southern Africa SADC- Cape town
North Afica and The Sahel - Casablanca and Cairo
East And Central Africa - One and only Nairobi.
Kama hujatajwa jua wewe ni mlala hoi.....😀
 
Yeah, (dar sluum)90% * 1600 kmsq = 1440 kmsq ya slums ( kubwa zaidi kuliko hata Nairobi mzima)
😱😱😱
Hiyo asilimumia 90 ni ndogo sema asilimia 1000000000000.99999

Roho yako ifurahi
 
Hayo maeneo ni yawanyamwezi yaani wajanja wa town
Hizo ni NONSENSE hakuna anayetaka kujua. Cha kusisitiza ni kuwa ni informal settlements.. ama in simple terms SLUMS.

Mnazo, sisi pia tunazo, ila nyinyi hamuezi kubali ukweli. Nyinyi ni nyani asiyeona m.Kundu wake

Nafikiri tunaelewana
 
Unalazimisha mambo,,njoo ule bia uondoe stress naona ushapagawa na life

Sehemu ambazo zipo unplanned dar ndiyo zipo na isitoshe gari na notor byc zinaweza kupita na hakuna anayekataa ila ukija kwenye slums unapotea hatuna uchafu huo
 
Haha what a coincidence. Acha niende hivi nakam
IMG_20180811_155841.jpg
 
Yeah, (dar sluum)90% * 1600 kmsq = 1440 kmsq ya slums ( kubwa zaidi kuliko hata Nairobi mzima)
😱😱😱
hutapata sehemu slum kwenye google earth sasa wewe na google earth nani mkweli😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇
nairobi
5D16062B-C32F-4DDB-BBF1-8FC630C64C62.png

dar es salaam
6D5ADBF4-957D-417F-840B-F58ED2540C59.png
 
Back
Top Bottom