Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Yapaswa wakenya wajue kuwa Tz ni hatari na hutengeneza vitu kwa mikakati kulingana na mahitaji na siyo kutengeneza ilinradi yaani unatengeneza flyover porini mfano pale lamu wakati sehemu husika haina hata hayo mahitaji ni matumizi mabovu ya pesaasante magu kazi tu


