Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi immigration stamp ya passport yako..wait..ata nadhani hauna...ushawai toka tz ...do you have the exposure..na wewe unafanya nini kwa thread ya kenya...si kuna uzi ya wabongo kama nyinyi..haujafika level buda..come slow[emoji23]
Siwezi kukuonyesha.......huu siyo uzi wa passpot .....sample uliyoonyeshwa inakutosha "...hatufanani
IMG_20180808_100834.jpg
 
Na iwe hivo kwa manufaa ya uchumi wetu baada ya bomba la mafuta from Hoima to Tanga, bomba la gesi kutoka Tz to Ug naamin hata hilo la reli ya kisasa zaidi linawezekana pia.

Bravo My President JPM
Ni mwendo wakufanya biashara sasa
 
wakenya wengi hawana ndoto ya kujenga wala kumiliki ardhi kwasababu ardhi nyingi imechukulia na watu wachache sana sasa wao huridhika kuishi kwenye maisha ya slums na kama anajimudu kidogo atasogea kwenye bedsitter kamaliza lakini ndoto ya kumiliki kiwanja pamoja nyumba haipo kwenye akili zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

wewe unaeza amini kenyatta anamiliki ardhi ya kuweka wakenya million 20
Yaani watanzania wachache sana ndo wanaweza kuacha kukaa Goba kwenye likiwanja la 900sqm akakae kwenye vighorofa kama hivo viestaste vya kenya. Tanzanians love space and we have plenty of it!!!!
 
hawataki utalii wakati maisha kama hayo hutapata juu ya ulimwengu huu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Evidence priss.
Atatumia google., ask him a specific joint in juja or apartment name or a shop., all Matatu numbers zenye zinapita that route na za Upper.., vile amesema., a Tanzanian who has stayed in Nairobi proper cant argue like him., those poor ones who are condemned to one part of Nairobi coz of financial difficulty ndio wana reason kama yeye, they think Nairobi is where they afford to live or their experience, waoga hata kutembea around they can't afford, pesa hawana wanajazana Kibera, ama Kayole., especially wengi ni hawkers, wanauza vitenge na chupi mitaani, kwao uwezi tembeza vitu eti unauza kama vile wanafanya huku n no one bothers them, na wewe ni raiya wa kigeni, especially mkenya, raiya wa Tz watakuitiya polisi, wana chuki!
 
Back
Top Bottom