AbassChizzy
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 546
- 201
Endelea kuota na hyo 40 % yakosasa wahamie kwenye GDP yenye unemployment rate 40%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna faida gani ya kua na GDP hata ingekua 1trillion usd kama 40% hawana ajira, inamaana hio GDP iko wapi???