BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,034
- 2,523
ATI ksh 12bob unapata 500mbs...umaskini tupuKwikwikwi. Rich country with no food.
ATI ksh 12bob unapata 500mbs...umaskini tupuKwikwikwi. Rich country with no food.
Nimeshtuka baada ya kuiona Dodoma, kwanini imeitwa jiji?
Achana na washamba hao. Mimi nipo Dodoma kesho nitaanza kutupia picha uone. Tembea uone kijana acha kupiga porojo kwenye mitandao.Nimeshtuka baada ya kuiona Dodoma, kwanini imeitwa jiji?
Hehe...watanzamia wenzenu hao. Hao hawajapumbazwa na uzalendo kama nyinyi humu ndani
nothing new... my friend!!Na vumbi![]()
![]()
![]()
& yet they are competing with this!!View attachment 814034View attachment 814035View attachment 814036
yaani nairobi usafiri bado ni vi-hiace???vipanya!!aaaah kudadeki nyie mko nyuma ya dar,sana yaani!![]()
![]()
![]()
this is How Nairobi Works brathe....By the time unapiga siasa ukisleki kameishaView attachment 814061View attachment 814062View attachment 814063View attachment 814064View attachment 814065View attachment 814066View attachment 814068
Ni washamba kwa sababu wanaongea ukweli. Ushamba ni pale unapokataa kukubaliana na ukweli unaodhihirika waziAchana na washamba hao. Mimi nipo Dodoma kesho nitaanza kutupia picha uone. Tembea uone kijana acha kupiga porojo kwenye mitandao.
this mo fucker is very talkative, always he posts what he doesn't know well..why not in joburg olso!!!
upload a picture showing the so called flyover..Bado!!!! wanajenga flyover ya Kwanza Dar-is-slum.
A single flyover inayotumika hawana in 2018. Rural town in Kenya like Meru and kisii have flyovers while Dar is still building theirs.
Thats why this is the most useless thread in this forum
Compare Nairobi to Lagos or even Addis but not this excuse of a city Dar-is-slum
upload a picture showing the so called flyover..
I know kenya in & out,nataka anioneshe hiyo flyover anayosema..hata kama wewe unayo,weka hapa..tembea Kenya u experience first hand real cities and towns.msikimbie south Africa
umesema kwa maoni yako!!Mbona unakuanga umeitharau kampala ivo? Kwa maoni yangu ni ya tatu ukanda huu nyuma ya
1.nairobi
2.dar
3.kampala
4.addis ababa
5.kigali
6mombasa
....................................
Uchafu hapa ndio umeanza sasa
Mwanza
Kisumu
Arusha
Nakuru
Eldoret
Moshi
Bujumbura 😀😀😀😀😀
Juba
Others
I know kenya in & out,nataka anioneshe hiyo flyover anayosema..hata kama wewe unayo,weka hapa..
Umenikumbusha ile hong kong hotel yako uliyoleta humu tukicompare hotels za Dar na Nairobi. hehehe...kama ni hizo, hata mimi nakubali mmetushindaHotels, beaches, public transport, entertainment, food etc.
Nyie mmeshinda Dar kitu gani!?
acha kuleta uongo kijana,malighafi zinazotumika kujengea nyumba katika mikoa ya nyanda za juu kusini na pwani yanatofautiana kwa sababu ya kijiografia,ardhi ya dar ni mchanga,kuna miji huku south afrika wanatumia hizo tofari nyekundu kama wanazotumia mbeya,iringa na njombe,si kwa sababu hawawezi kununua cement la hasha!!ni kutokana na nature ya ardhi yao.Binafsi sijafika Tanga ila mbeya na Dom ni kaka na Dada hazifai kuitwa jiji kama mnavyotaka, wanasema kuitwa jiji wanaangalia miundombinu, uchumi wa eneo husika, upatikanaji wa pesa lakini hivyo vyote kwa dodoma bado Sana haifai kuitwa jiji siyo kwa miundombinu, uchumi au upatikanaji wa pesa.... Mbeya nayo bado japokuwa wamepiga hatua kwenye uchumi, upatikanaji wa pesa na miundombinu ya barabara lakini kwa majengo bado sana mfano Kuna nyumba za tope mpaka mjini kwa mfano Sae, Ilomba, Ccm, Mama John Sai, Stereo, simike, soweto airport ya zaman, n.k 80% kwenye maeneo haya ni nyumba za tope.
aaahh kwenda zako,huwa sipendi porojo mimi!!mna vidaraja mnasema flyover,wajinga kweli nyinyi..LOL .."I know Kenya bandwagon"........Tembea kijana
imetiusaidia kuwa na uchumi kubwa kuwaliko.Aggressive!! Upuuzi tu. Mnakuwa wezi ndio mnaita aggressiveness!!? Hiyo unayoita aggressive imewasaidia nini?