Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hotels, beaches, public transport, entertainment, food etc.
Nyie mmeshinda Dar kitu gani!?
Nairobi imeshinda hio uchafu yenyu na vitu vya maana kama finance, infrastructures, commerce ,retail, international brands, expatriates etc sio huo upuzi wako ati unasema hapo
 
Dar hata kwa weather forecast za Africa hamuonekani.

Hawatambui dar ni nini. Ni NAIROBI, Kampala na Addis pekee


Screenshot_2018-07-21-14-03-58-858_com.apalon.weatherradar.free.jpg
 
If kenyans could exchange countries with with tz..we could be the most richest and developed nation...with all that gas and minerals and arable farm...tungekuwa mbali..but if tz was in kenya..wangekuwa maskini kama somalia...but still we outdo them in almost every sector..endeleeni kulalia maskio.....


Tanzanians wanachezea tu resources.......hao bora uhai na ccm mamlakani
 
If you don't have facts about Tanzania you better keep your stupid mouth shut.
Those are Naigeria Slums not Tanzania. Stupid Kenyan
Slums City Urban Cityscape Stock Photos & Slums City Urban Cityscape Stock Images - Alamy

Wewe wacha mabishano ya Kijinga. Hiyo picha ni ya Dar na yeyote alifika kwa hayo majiji mawili anaweza kukueleza kuwa hiyo picha sio Lagos. Mitaa ya Lagos huwa na muonekano wake maalum (nyumba za yellow yellow) alafu huwa imejaa watu kila mara. Yeyote aliyefika Dar atakueleza 90% ya Dar inakaa kama hiyo picha ilivyo.
 
Hapo kwa hotels twende moja kwa moja tuone nani mwanaume
Kijana sisi huwa hatuongei. Tunafanya kwa vitendo. Wewe jipange tu uje tukupige za uso. Hakuna cha maana Nairobi.
 
Wewe wacha mabishano ya Kijinga. Hiyo picha ni ya Dar na yeyote alifika kwa hayo majiji mawili anaweza kukueleza kuwa hiyo picha sio Lagos. Mitaa ya Lagos huwa na muonekano wake maalum (nyumba za yellow yellow) alafu huwa imejaa watu kila mara. Yeyote aliyefika Dar atakueleza 90% ya Dar inakaa kama hiyo picha ilivyo.
Kwikwikwi. Mbona unalia lia kijana. Hapo nimekuwekea link ya picha. Hakuna eneo kama hilo Dar.
 
Blaza unaijua Addis kweli??? Yaani Kampala iipiku Addis??
Haya hio list kamili sasa..
1. Nairobi
2. Mombasa
3. Addis
4. Dar
5. Kampala
6. Kigali
7. Kisumu
8. Mwanza
9. Nakuru
10. Eldoret
11. Malindi
12. Arusha
13. Kakamega
14. Kisii
15. Moshi
 
Binafsi sijafika Tanga ila mbeya na Dom ni kaka na Dada hazifai kuitwa jiji kama mnavyotaka, wanasema kuitwa jiji wanaangalia miundombinu, uchumi wa eneo husika, upatikanaji wa pesa lakini hivyo vyote kwa dodoma bado Sana haifai kuitwa jiji siyo kwa miundombinu, uchumi au upatikanaji wa pesa.... Mbeya nayo bado japokuwa wamepiga hatua kwenye uchumi, upatikanaji wa pesa na miundombinu ya barabara lakini kwa majengo bado sana mfano Kuna nyumba za tope mpaka mjini kwa mfano Sae, Ilomba, Ccm, Mama John Sai, Stereo, simike, soweto airport ya zaman, n.k 80% kwenye maeneo haya ni nyumba za tope.


hata mwanza area nyumba ni tope kila sehemu hadi uingie kwa mji wao
 
Nyie maskini wa kutupwa hamna pesa ya kununua vyakula kwaivo shut up Ldc
nisiskie mnalia hatuwauzii mahindi sawa ww? Mtaagiza Mexico Au Brazil wavivu wa Dunia, mnashindwa lima mahindi mnajiita mmesogea?labda mmesogea shimoni
 
Haya hio list kamili sasa..
1. Nairobi
2. Mombasa
3. Addis
4. Dar
5. Kampala
6. Kigali
7. Kisumu
8. Mwanza
9. Nakuru
10. Eldoret
11. Malindi
12. Arusha
13. Kakamega
14. Kisii
15. Moshi
Kakamega na kisii ni majina ya babu zako au miji mji
Kwann basi kakamega isiwe namba moja na kisii namba 2 namba 3 iwe garissa #4 Bungoma
 
Nairobi imeshinda hio uchafu yenyu na vitu vya maana kama finance, infrastructures, commerce ,retail, international brands, expatriates etc sio huo upuzi wako ati unasema hapo

There was a day tulishindanisha Nairobi na Dar hapa in terms of hotels nakwambia I was even shocked. I thought since it's on the coast Dar had more hotels than Nairobi kumbe wapi. Jamaa wana hoteli za maana hapo Dar kama tano tu hivi, zingine ni vitu vya aibu. Imagine unapost Radisson blue mtu anarespond na kitu kama hii hapo na hapo hata hujamension akina four points, Villa Rosa, Hemmingways, Dusit D2 etc. 😀😀😀😀😀 Honestly I was very shocked Nairobi imeshinda Dar kwa hoteli na mbaaaali.
hong-kong-hotel-26369-a44baf0002de31da466194fce4d1c0e0d8e2f2e5.jpeg
 
nisiskie mnalia hatuwauzii mahindi sawa ww? Mtaagiza Mexico Au Brazil wavivu wa Dunia, mnashindwa lima mahindi mnajiita mmesogea?labda mmesogea shimoni
TUUSAN mahindi mnatuuzia kwa sababu mnataka pesa na pesa tutawapa.

Kenya pia kuna mahindi
 
Back
Top Bottom