Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
A simple mathematics might do u justice, Nigerians are about averagely 240m in population whilst we are at averagely 45m thats 5 times our population if we were at 240m we too averagely might be at a gdp of usd.421bgap gani inapanuka ya huko chini??yaani GDP ya $79bln unapiga vigeregere😀😀😀😀.ukifika 200 si utakunya kabisa kwa furaha😛
i wonder hata huwa mnabishana nini na wanigeria huko wenye $400bln,yaani wakenya mna matatizo sana.
David Ndii is a political activist, his opinions are informed by political inclinations and not professionalism, his views are always unmasked and challenged in talk shows! kama nyingine ya sgr., am wondering how his ph.D thesis looks like?., am curious to know his topic of study, he has alot of pedestrian arguments.Soma maelezo ya mkenya mwenzako David Ndii mtaalamu wa Uchumi. Wewe kajamba nani unajua hata maana ya GDP?
Do you know the different btn PPP and GDP?David Ndii is a political activist, his opinions are informed by political inclinations and not professionalism, his views are always unmasked and challenged in talk shows! kama nyingine ya sgr., am wondering how his ph.D thesis looks like?., am curious to know his topic of study, he has alot of pedestrian arguments.
Ulishafika Tanga na Mbeya nayo ni majiji ati
Dodoma ni kijiji kikubwa,kama Mbeya tu na Tanga,bora Arusha mara mia panatizamika..
Ukiiona Mbeya ndio utapigwa na bumbuwazi kabisa. 🙄
Dar labda 20% tu utasema yes lakini huko kwingine aibu tupu.
Acha kudanganya watu:
Kaka Iache Tu Dom Yetu Tushaizoea Wenyewe!Siku Ilivyotangazwa Jiji Hata Sisi Tulishtuka Mnh!!![]()
Sifa ya mji,mkoa kuwa jiji siyo MIUNDO MBINU mkuuu!
ni nini basi? maana Tanga nayo jiji lakini nyumba za udongo mpaka maeneo ya mjini
kajitekenya kisha anacheka kilichobakia kwao ni kuokota picha za google na kusema dar😀😀😀😀Acha kudanganya watu:
View attachment 814318
Picha ipo hapa
https://www.quora.com/If-you-were-to-describe-Lagos-in-one-word-what-would-it-be
Tanzania ipo juu yenu kijana. Zaidi sana mtaleta picha za uongo. Hamuwezi kushindana na Tanzania kwa facts.
Mbona unakuanga umeitharau kampala ivo? Kwa maoni yangu ni ya tatu ukanda huu nyuma yaMombasa ni ujinga mtupu bora Kama ungesema Nbo &Dar maana Kampala nayo naona utani tu
quora is just like jf buddyAcha kudanganya watu:
View attachment 814318
Picha ipo hapa
https://www.quora.com/If-you-were-to-describe-Lagos-in-one-word-what-would-it-be
Tanzania ipo juu yenu kijana. Zaidi sana mtaleta picha za uongo. Hamuwezi kushindana na Tanzania kwa facts.
hakuna joke hapo sema umekalia kuti kavu heheh endeleeni kuokota picha za google na kusema. dar😀quora is just like jf buddy
the joke is on you. those are typical dis-orgnised swahili shacks
nairobi haitakaa juu ya dar mpaka yesu anashuka hehhehe yani nairobi kwa dar ni kama mjukuu😀😀😀Mbona unakuanga umeitharau kampala ivo? Kwa maoni yangu ni ya tatu ukanda huu nyuma ya
1.nairobi
2.dar
3.kampala
4.addis ababa
5.kigali
6mombasa
....................................
Uchafu hapa ndio umeanza sasa
Mwanza
Kisumu
Arusha
Nakuru
Eldoret
Moshi
Bujumbura 😀😀😀😀😀
Juba
Others
Acha kudanganya watu:
View attachment 814318
Picha ipo hapa
https://www.quora.com/If-you-were-to-describe-Lagos-in-one-word-what-would-it-be
Tanzania ipo juu yenu kijana. Zaidi sana mtaleta picha za uongo. Hamuwezi kushindana na Tanzania kwa facts.
If you don't have facts about Tanzania you better keep your stupid mouth shut.quora is just like jf buddy
the joke is on you. those are typical dis-orgnised swahili shacks
hao wakenya ndiyo zaodah mkuu umenifundisha kitu... kumbe hata google inaweza ika guess picha unaiweka... safi sana...umemkamata vizur huyo jamaa
Duh!Binafsi sijafika Tanga ila mbeya na Dom ni kaka na Dada hazifai kuitwa jiji kama mnavyotaka, wanasema kuitwa jiji wanaangalia miundombinu, uchumi wa eneo husika, upatikanaji wa pesa lakini hivyo vyote kwa dodoma bado Sana haifai kuitwa jiji siyo kwa miundombinu, uchumi au upatikanaji wa pesa.... Mbeya nayo bado japokuwa wamepiga hatua kwenye uchumi, upatikanaji wa pesa na miundombinu ya barabara lakini kwa majengo bado sana mfano Kuna nyumba za tope mpaka mjini kwa mfano Sae, Ilomba, Ccm, Mama John Sai, Stereo, simike, soweto airport ya zaman, n.k 80% kwenye maeneo haya ni nyumba za tope.