Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar hamuwezani na NBO

Bado kijiji chenu kiko chini kama NONSENSE.

I hear more than 75% of Dar is slums and shanties
you heard about dar!we saw it nairobi!!...I told you if you want,take a flight to dar,I'll pay those costs,
 
This is dodoma city..the pride of tanzanians...ingeukwa kenya haingequalify ata village center...kunakaa isiolo...
images-19.jpg
images-20.jpg
images-21.jpg
 
Nimeshtuka baada ya kuiona Dodoma, kwanini imeitwa jiji?

Hehe...watanzamia wenzenu hao. Hao hawajapumbazwa na uzalendo kama nyinyi humu ndani
sasa unataka tuwe kama yeye?..kwani sisi hatuoni?kwani sisi hatuna akili zetu!kwani sisi hatuwezi kuamua!!mzee kikwete alikuwa na msemo wake mmoja hivi "za kuambiwa?changanya na zako!"
hatuna akili za kushikiwa kama nyinyi,raila akisema tuandamane,na nyie mnaandamana,mnapigwa mabomu mnakufa,mnapata vilema,election ikiisha raila huyohuyo anaenda kumpa mkono mtu aliyekuwa akimpinga!!what a mad??
 
Back
Top Bottom