Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyo ni miongoni mwa wakenya vilaza sana wenye hasira kali sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
The funny thing is that mnaringa na Mtu wa Kenya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hakuna mtanzania anaeona unyanyasaji tena tunafurahia kuona CCM leo inaheshima africa mpaka duniani na inatuletea maendeleo kulingana na wakati na imedumisha amani na kuondoa ukabila.... nakupenda CCM
Bagamoyo since 2015 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Maisha yangekuwa mazuri TZ basi wale omba omba wenu hawangetujazia barabara za mitaa na miji zetu na bakuli mikononi wakiomba pesa. Siku hizi wametapakaa kila mahali, sio Nairobi pekee
 
 
halafu ukitajiwa brt hapa utadhani ni kitu ya maana sana...kumbe jina tu. Brt ya kupeleka watu kwenye changaduo, aka dream houses. Ona vile hiyo sehemu ilivyo pabaya
Hizo naskia kule Dar zinaitwa SUBURBS sio slums wala informal settlements [emoji23] [emoji23]
 
Mwenzio amekuwekea picha nzito nzito za Kisumu ,hata picha za night sky (usiku) ,lakini wewe kwa sababu ya shida fulani ya ubongo, una ignore hizo picha. Unajifanya hujaziona. Halafu unapost picha ambazo wewe mwenyewe ungependa kuziona. Eti picha za Kisumu ambazo wewe ungependa kuona ni zile za bodaboda pekee. Haya basi baki hapo na fikira zako. Ukionesha mtu ukweli lakini mtu huyo akatae kukusikiliza, basi huna budi ila kumpa kisogo na kuenda zako. Wewe umeona ukweli lakini umekataa kupevuka.
 
a single person owns a land that could be enough for a quarter population of whole country..!!arable land owned by white settlers,then,they grows the flowers,meanwhile the northern Kenyans die hungry..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] One hell of a crap story infact In the whole of Western Kenya & Nothern Rift valley Hakuna Shamba ya Uhuru,Moi,Wala Kenyatta Central kenya is a very portion on land Compared to the whole of kenya..let me analyse for you large farms in kenya plus their ownerships..
1. Delamare- Lord Delamare
2. Kabarack- Moi 10k acres
3. Thika pineapple 120k acres-Govt.
4. Flower Farm Naivasha- Govt
5. Gichea farm-Uhuru kenyatta 20k acres"Gatundu"

- Haya niambie sasa kama Gatundu ni Kenya mzima infact Moi ako na land mingi kuliko kenyatta and none of them own any part of the vast western & far Eastern kenya so Next time Come with statistics sio kuropokwa hapa Kenya ni ya Kenyatta...hii kenya sio ya mamaako bana
 
wasikilize namibia hao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Arusha is Only recognized as your administration Center nothing else infact it is your capital & can you Compare it to Nairobi?? Hell no...Mombasa?? Hell no....Kisumu?? dont even think about it....Nakuru?? Far much Developed....Eldoret??...my be yes may be Not....Kakamega??...yuh Comparable
 
Mpe za uso uyu mwenye akili za kukuπŸ˜€πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€Matofali *****, ivo ndio ccm inawalisha propaganda tangu 60sπŸ˜€πŸ˜€
But they are Yet to realize
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ndio maaana ariel photos are prohibited in Tanzania.
Ghai!! I always wonder why Tanzanians post Simgle buildings along roads do this guyz even have Streets ama ni Vumbi tupu
 
halafu ukitajiwa brt hapa utadhani ni kitu ya maana sana...kumbe jina tu. Brt ya kupeleka watu kwenye changaduo, aka dream houses. Ona vile hiyo sehemu ilivyo pabaya
Hebu imagine how That place looked like before BRT...i doubt kama ilikuwa na Lami
 
Yania mnajenga the 1st flyover in Dar na mnaona mshatushinda kwa road infrastructure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli Bongolala ni Bongolala hii ni ugonjwa aki
fly over kwetu si kitu na hatuna habari nazo.........
 
ichoboi fanya mpango utume ile aerial view ya Dar pale town .......maana city yao ya nairobi imepwaya bado ni local sana

hii ni LONDON....
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…