Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Who doesn't know Dar? flats in the CBD, unaona watu wameanika nguo kwa balcony when in town, unplanned residential., nice BRT systemukheukhe hupajui au??😀😀😀

Who doesn't know Dar? flats in the CBD, unaona watu wameanika nguo kwa balcony when in town, unplanned residential., nice BRT systemukheukhe hupajui au??😀😀😀

anhh acha hasira bana plz😀😀😀😀Who doesn't know Dar? flats in the CBD, unaona watu wameanika nguo kwa balcony when in town, unplanned residential., nice BRT system![]()
![]()
![]()
Maneno matupu hayavunji mfupa. Tunajua Kenya ni simba wa kuchora. Hahahahaha!!!
![]()
tunachora nini? lol!!Naona povu linazidi kukushuka baada ya kushindwa kuleta ushahidi kuhusu CCM naona unarukia kila mada kama kichaa vile. Simama kwenye point moja hadi mwisho kisha uhamie nyingine. Ukiendelea hivi utaonekana chichwani hazimo.Who doesn't know Dar? flats in the CBD, unaona watu wameanika nguo kwa balcony when in town, unplanned residential., nice BRT system![]()
![]()
![]()
hahahha yani jamaa kafanya nimecheka sana😀Naona povu linazidi kukushuka baada ya kushindwa kuleta ushahidi kuhusu CCM naona unarukia kila mada kama kichaa vile. Simama kwenye point moja hadi mwisho kisha uhamie nyingine. Ukiendelea hivi utaonekana chichwani hazimo.
I told you Kenya ni wachanga sana kwenye mambo ya siasa. Tunaweza kuwafania chochote tutakacho.
Tell which legacy aliyoiacha Jommo Kenyatta?
This is AU Building, Jina lake ni:-
![]()
![]()
![]()
I gave Ichoboy the burden of proof, to prove my statement wrong., siropokwi tu, I hate ignorance with a passion. I want to believe ako na uwezo wa utafiti; from my statement he can look at the historical background of CCM, against the conduct of current leaders, draw objectives, come up with a hypothesis, objectives(to verify my argument), clear methodology with proper tools ya ku measure the level of allegations levelled against the current crop of leaders in CCM from my observation, kuna evidence.Kunana naona povu linazidi kukusuka baada ya kushindwa kuleta ushahidi kuhusu CCM naona unarukia kila mada kama kichaa vile. Simama kwenye point moja hadi mwisho kisha uhamie nyingine. Ukiendelea hivi utaonekana chichwani hazimo.
yaani ulivyoandika hivi..kama mtu hujawahi kwenda kenya unaweza kusema kenya ni moja poa sana yan!kumbe kudadeki ni miongoni mwa nchi za hovyo hapa EAC haijawahi kutokea imagine ndo nchi yenye slums nane kubwa afrika,slum mojawapo ya kibera imeweza kujitokeza kwenye top 5 ya worst slums duniani,ndo nchi yenye uchumi ambao unamilikiwa na watu wachache ambao ni wahindi na Kenyatta's family,imagine watu robo tatu ya wakenya waishio nairobi wanaishi ktk slums,Kenya ajira ni kizungumkuti,mara kadhaa nilipokuwa ktk jiji la nairobi nimeshuhudia wakenya watu wazima tu wakisinzia sinzia cbd,lakini wana akili timamu tu na wamependeza,wengine ni wakora vibaya mno,kenya hasa maeneo ya kaskazini kuna njaa ambayo haijawahi kuwepo sehemu yoyote afrika mashariki,watu wana hali mbaya hadi unaweza kusema "huku ni duniani ama kuzimu??",ardhi yenye rutuba inamilikiwa na wazungu(wageni) na Kenyatta's family, wageni wanaitumia kustawisha maua,Mwongo uhali gani? what is your CCM doing to alleviate masikini wa kutupwa? mnaongoza ukanda huu na sadc., hata hivyo nimeona nchi zenye uwezo mkubwa wa kiuchumi na potential ya maendeleo Africa iko kwa list ya top ten; Nigeria, South Africa, Ethiopia, Tanzania, Kenya. Were kazi yako ni PR and publicity of CCM propaganda! Tanzania ni aibu tupu, jitu ndio lina amka, sasa oga, ukule kisha uchape kazi, bado kuna harufu mbaya na uchafu la umaskini, ushirikina, udikteta, hali duni ya maisha kwa ajili ya less infrastructure in comparison to the country's size and population ratio. Magufuli ameamusha jitu, you are coming nicely, but yet to reach where Kenya is, despite our shortcomings which we are sorting.
Even in New York,London and a lot of other cities there are some residential apartment in the heart of the city!Who doesn't know Dar? flats in the CBD, unaona watu wameanika nguo kwa balcony when in town, unplanned residential., nice BRT system![]()
![]()
![]()
Kila siku huwa nawaandikia hapa, ukiwasoma hawa wakenya humu unaweza kufikiri nairobi ni kama new york,tokyo fulani hivi na wakenya kama watu fulani wa juu sana. Wanafikri hatujaishi nao na hatujui mambwira kibao ya kikenya!yaani ulivyoandika hivi..kama mtu hujawahi kwenda kenya unaweza kusema kenya ni moja poa sana yan!kumbe kudadeki ni miongoni mwa nchi za hovyo hapa EAC haijawahi kutokea imagine ndo nchi yenye slums nane kubwa afrika,slum mojawapo ya kibera imeweza kujitokeza kwenye top 5 ya worst slums duniani,ndo nchi yenye uchumi ambao unamilikiwa na watu wachache ambao ni wahindi na Kenyatta's family,imagine watu robo tatu ya wakenya waishio nairobi wanaishi ktk slums,Kenya ajira ni kizungumkuti,mara kadhaa nilipokuwa ktk jiji la nairobi nimeshuhudia wakenya watu wazima tu wakisinzia sinzia cbd,lakini wana akili timamu tu na wamependeza,wengine ni wakora vibaya mno,kenya hasa maeneo ya kaskazini kuna njaa ambayo haijawahi kuwepo sehemu yoyote afrika mashariki,watu wana hali mbaya hadi unaweza kusema "huku ni duniani ama kuzimu??",ardhi yenye rutuba inamilikiwa na wazungu(wageni) na Kenyatta's family, wageni wanaitumia kustawisha maua,
ila wakenya nao wana mazuri yao,nawakubali jamaa wanaweza wakazungumza kingereza fluently, unaweza kuona jamaa ni muhuni tu,mpiga debe tu,lakini anazungumza kiingereza safi,malls nazo kwa miji ya afrika mashariki jamaa wanaongoza,currency yao ipo juu zaidi ya tz,lakini zaidi ya hapo hakuna mnachoweza kuizidi Tanzania,
hakuna hasira hapa., ni mshangao ya upofu wenyu![]()
![]()
![]()
na kicheko tu
![]()
![]()
![]()
![]()
Acha ujinga kijana sisi siyo wapumbavu kama nyie.I gave Ichoboy the burden of proof, to prove my statement wrong., siropokwi tu, I hate ignorance with a passion. I want to believe ako na uwezo wa utafiti; from my statement he can look at the historical background of CCM, against the conduct of current leaders, draw objectives, come up with a hypothesis, objectives(to verify my argument), clear methodology with proper tools ya ku measure the level of allegations levelled against the current crop of leaders in CCM from my observation, kuna evidence.
Najua he may decline, being subjective the way it is portrayed by several of his posts here. Ningependa sana achunguze CCM objectively. Mwenyewe asije akasema niko na porojo ama propaganda.
Bado mko chini., far from the view am seeing, do you know hamna sehemu nyingine ya Dar inaweza ku replicate hii
proper! Nairobi iko league nyingine, juu ya yenyu and with our several slums.
na hapa ni wapi??😀😀😀😀unapajua
hii ni picha bila make up unapajua
View attachment 810659 View attachment 810660
mji wenye ghorofa 15,ndo ufananishe na dar...hahaaa mnachekesha sana!The Nairobi.
View attachment 810481
Your thinking and argument is the reason, mtanzania ni Tomaso(doubting Thomas), lazima ajionee ndiyo aamini, la sivyo mtapingana hadi..., nimewaelewa sana. I rest my case.Acha ujinga kijana sisi siyo wapumbavu kama nyie.
Wewe ndiye umeleta tuhuma, mwenye mzigo wa kuthibitisha hiyo tuhuma ni wewe. Mbona simple sana.
Hata mahakamani ukimtuhumu mtu kufanya jambo fulani unatakiwa wewe uthibitishe jambo hilo. Huwezi kutuhumu mtu fulani kaua halafu umwambie alete ushahidi kama hajaua.
I think the level of your understanding is very low.
Kama huna research huna ruhusu ya kuropoka ropoka kama mwehu.
hehhehe yeye chuki zake ni CCM tu😀😀yaani ulivyoandika hivi..kama mtu hujawahi kwenda kenya unaweza kusema kenya ni moja poa sana yan!kumbe kudadeki ni miongoni mwa nchi za hovyo hapa EAC haijawahi kutokea imagine ndo nchi yenye slums nane kubwa afrika,slum mojawapo ya kibera imeweza kujitokeza kwenye top 5 ya worst slums duniani,ndo nchi yenye uchumi ambao unamilikiwa na watu wachache ambao ni wahindi na Kenyatta's family,imagine watu robo tatu ya wakenya waishio nairobi wanaishi ktk slums,Kenya ajira ni kizungumkuti,mara kadhaa nilipokuwa ktk jiji la nairobi nimeshuhudia wakenya watu wazima tu wakisinzia sinzia cbd,lakini wana akili timamu tu na wamependeza,wengine ni wakora vibaya mno,kenya hasa maeneo ya kaskazini kuna njaa ambayo haijawahi kuwepo sehemu yoyote afrika mashariki,watu wana hali mbaya hadi unaweza kusema "huku ni duniani ama kuzimu??",ardhi yenye rutuba inamilikiwa na wazungu(wageni) na Kenyatta's family, wageni wanaitumia kustawisha maua,
ila wakenya nao wana mazuri yao,nawakubali jamaa wanaweza wakazungumza kingereza fluently, unaweza kuona jamaa ni muhuni tu,mpiga debe tu,lakini anazungumza kiingereza safi,malls nazo kwa miji ya afrika mashariki jamaa wanaongoza,currency yao ipo juu zaidi ya tz,lakini zaidi ya hapo hakuna mnachoweza kuizidi Tanzania,
hana evidence maskini heheh yani yeye anaongea alaf ukimuomba ushahidi anabadilisha topic😀😀😀Acha ujinga kijana sisi siyo wapumbavu kama nyie.
Wewe ndiye umeleta tuhuma, mwenye mzigo wa kuthibitisha hiyo tuhuma ni wewe. Mbona simple sana.
Hata mahakamani ukimtuhumu mtu kufanya jambo fulani unatakiwa wewe uthibitishe jambo hilo. Huwezi kutuhumu mtu fulani kaua halafu umwambie alete ushahidi kama hajaua.
I think the level of your understanding is very low.
Kama huna research huna ruhusu ya kuropoka ropoka kama mwehu.
Not the same magnitude that is in Dar ni mitindo ya waharabu(Arabs) na ni kama Mombasa kabisaa, hadi lugha.Even in New York,London and a lot of other cities there are some residential apartment in the heart of the city!
siunaona sasa CCM imekushinda umehama kwengine hahahahha dar hauiwezi ndugu wala usihangaike huku na kule dar sio ile mliokua munafkiri hehehe sasa hvi hamuiwezi hata kwa ukucha 😀😀😀Bado mko chini., far from the view am seeing, do you know hamna sehemu nyingine ya Dar inaweza ku replicate hii![]()
![]()
proper! Nairobi iko league nyingine, juu ya yenyu and with our several slums.
![]()
![]()
![]()
![]()
Mtafika tu, miaka kumi iliyopita you were not here, so usijali sana., mnakuja kwa kasi, ila pengine mubomoe sehemu sehemu as Dar kupunguza uLagos., na ku replace na modern structures kama hizi umeweka hapa.