Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio mnatamba katika sector hizo. Lakini kumbuka hizo sector hazina pesa. Sisi tunatamba katika sector bab kubwa ambako kuna pesa nzito nzito. Angalia katika air transport. Angalia road transport from Mombasa to Kampala. Angalia Flower, Vegetable, Tea and textile export. Angalia remittance by Kenyans living abroad. Angalia pipeline ya ksh 48 billion ($480 million) kutoka Mombasa to Nairobi, tulizindua jana na inauwezo wa kupump lita milioni moja kila lisaa. Banking sector ya Kenya ndio kubwa zaidi East Africa. Sasa sisi pia tuna baadhi ya sectors ambazo tunadominate. Nyinyi pia mna sector zenu mnazocontrol lakini ni sectors hafifu. Sasa movie industry yenu inaleta ushuru kwa serikali ya kiasi gani, au imeajiri waigizaji wangapi? Nadhani ni sector ndogo sana hustahili kuitaja.
tanzania imeanza kujenga oil pipeline 70s my friend kuna oil pipeline kutoka dar mpaka zambia ukija kwenye gas pipeline ndio utakimbia kabisa heheheh

bongo movie imeajiri wasanii wengi sana kama ilivo music industry my friend
 
Hamna full stop. staki Panganga zako...siasa peleka Kijikoyanyama dar...so if you don't have anything apart from one flyover in the whole of Tz shut the hell up...mko ligi ndogo bana
sawa umewahi sikia wapi machokoraa mnakuwa ligi kubwa........

huo niliokuchana ndiyo ukweli......kuwa mpole
 
tanzania imeanza kujenga oil pipeline 70s my friend kuna oil pipeline kutoka dar mpaka zambia ukija kwenye gas pipeline ndio utakimbia kabisa heheheh

bongo movie imeajiri wasanii wengi sana kama ilivo music industry my friend
Mwambie kuwa kwenye movie industry TZ ni ya pili Afrika baada ya Nigeria.
 
IMF 2018....Kenya -$79.8 billion

Tanzania 51+Uganda 23+ Rwanda 7+Burundi 3.....total 84......lol
 
Tumewasha mtambo mpya wa umeme
Screenshot_20180713-065603.jpg
 
sio tu viwanja hata kwenye mishahara, ushabiki, msisimuko wa team, sheria pia nzuri, upendo
Kenya tuko torn between different sports. Soccer, Rugby, wakalenjin na Athletics, kuna Cricket fans, Volleyball etc. And all these teams do well. Actually in my experience local rugby events and rugby union league games ziko better attended than football. So apart from Gor (Luo) na AFC Leopards(Luhyhas) ni ngumu upate timu ziko na mashabiki. Lakini kwa hii soka mnayojivunia we do better, higher FIFA rankings, higher ELO rankings na we have players playing in EPL, La Liga kuna mwingine alishinda Champions League na Inter Milan in 2010 etc. So apart from barbaric fans wenu, what do you have?
 
muna maendeleo gani ???ikiwa hio gor mahia imeanzishwa 1968 haina hata banda la choo mjini

sisi tunataka kuona sports developments sio porojo
 
Back
Top Bottom