Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TANZANIA tumeingia kwenye uchumi wa kati kwa kushindo kama ripoti ya IMF inavyoonyesha
SC20170518-140018-1-1.jpg
 
Nipostie Kama hiyo Arusha Kama ni ya upuzi
hatuna na hatuwezi jenga upuuzi kama huo sisi tunatengeneza viwango vitu vyenye ubora hatukurupuki kama nyie wakenya pori.......

hatuwezi kujaza vifusi ilimradi kakipande karoad kapite juu....hatuwezi fanya upumbavu huo
 
Ndio mnatamba katika sector hizo. Lakini kumbuka hizo sector hazina pesa. Sisi tunatamba katika sector bab kubwa ambako kuna pesa nzito nzito. Angalia katika air transport. Angalia road transport from Mombasa to Kampala. Angalia Flower, Vegetable, Tea and textile export. Angalia remittance by Kenyans living abroad. Angalia pipeline ya ksh 48 billion ($480 million) kutoka Mombasa to Nairobi, tulizindua jana na inauwezo wa kupump lita milioni moja kila lisaa. Banking sector ya Kenya ndio kubwa zaidi East Africa. Sasa sisi pia tuna baadhi ya sectors ambazo tunadominate. Nyinyi pia mna sector zenu mnazocontrol lakini ni sectors hafifu. Sasa movie industry yenu inaleta ushuru kwa serikali ya kiasi gani, au imeajiri waigizaji wangapi? Nadhani ni sector ndogo sana hustahili kuitaja.
Tourism, Transportation, Mining, Agriculture, Fishing.
Nyie mmebaki na kukimbia kimbia tu kama digidigi.
 
Bado movie sector hawatufikii...we have the Largest theaters in East and Central Africa bana...
IMAX-theatre-in-Nairobi.jpg
628066__1465502047_196.101.249.113-696x464.jpg
 
Bado wapo mjini wana ng'ang'a macho, wamepewa bus na Azam full mufindi siyo kama ki bus chao cha Tuzo kime jaa kunguni..

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
ndani ya lile bus ni mufindi haswa aisee,yaani ni kama upo ndani ya dreamliner mpya iliyowasili majuzi..hatari sana.

kama nawaona wachezaji wa gormahia wanavyojipiga selfie kwenye basi la azam fc maana kwao hamna team yenye bus kama lile.

mufindi = luxury bus or car with full air conditioning system.
 
hatuna na hatuwezi jenga upuuzi kama huo sisi tunatengeneza viwango vitu vyenye ubora hatukurupuki kama nyie wakenya pori.......

hatuwezi kujaza vifusi ilimradi kakipande karoad kapite juu....hatuwezi fanya upumbavu huo
Hamna full stop. staki Panganga zako...siasa peleka Kijikoyanyama dar...so if you don't have anything apart from one flyover in the whole of Tz shut the hell up...mko ligi ndogo bana
 
Tourism, Transportation, Mining, Agriculture, Fishing.
Nyie mmebaki na kukimbia kimbia tu kama digidigi.
Annael ebu tulinganishe kwa tourism...nani kati ya kenya na tanzanian wanapokea watalii kwa wingi?leta facts tucompare..kenya imefanya marketing ya kutosha kuliko tz
 
Nadhani kwa ferry mko sawa. Sijui ni kwa sababu mna mito na ziwa mengi ndio maana mna ferry nyingi. Sisi hatuna mahitaji ya meli isipokuwa katika kivuko cha Likoni Mombasa. Port ya Kisumu ilikufa kwa hivyo hamna ferry pale isipokuwa moja ya utalii. Anyway pongezi kwa kumwaga pesa kwenye ferry.
sio ferry tu hata super bridges hamtuwezi pia😀😀
 
Back
Top Bottom