

Nadhani kwa ferry mko sawa. Sijui ni kwa sababu mna mito na ziwa mengi ndio maana mna ferry nyingi. Sisi hatuna mahitaji ya meli isipokuwa katika kivuko cha Likoni Mombasa. Port ya Kisumu ilikufa kwa hivyo hamna ferry pale isipokuwa moja ya utalii. Anyway pongezi kwa kumwaga pesa kwenye ferry.hzi ni baadhi ya meli na vivuko vya serekali ziko nyingi sana ila nakuonesha vichache tu Tony254
View attachment 808064 View attachment 808065 View attachment 808068 View attachment 808069 View attachment 808070 View attachment 808071 View attachment 808072 View attachment 808073
What about bridges?, What about buildings, What about Music industry, What about Movie industry, What about TV stations? etcNadhani kwa ferry mko sawa. Sijui ni kwa sababu mna mito na ziwa mengi ndio maana mna ferry nyingi. Sisi hatuna mahitaji ya meli isipokuwa katika kivuko cha Likoni Mombasa. Port ya Kisumu ilikufa kwa hivyo hamna ferry pale isipokuwa moja ya utalii. Anyway pongezi kwa kumwaga pesa kwenye ferry.
Huwez compare tazara flyover na huo mchezo wakuigiza apo...
Ndio mnatamba katika sector hizo. Lakini kumbuka hizo sector hazina pesa. Sisi tunatamba katika sector bab kubwa ambako kuna pesa nzito nzito. Angalia katika air transport. Angalia road transport from Mombasa to Kampala. Angalia Flower, Vegetable, Tea and textile export. Angalia remittance by Kenyans living abroad. Angalia pipeline ya ksh 48 billion ($480 million) kutoka Mombasa to Nairobi, tulizindua jana na inauwezo wa kupump lita milioni moja kila lisaa. Banking sector ya Kenya ndio kubwa zaidi East Africa. Sasa sisi pia tuna baadhi ya sectors ambazo tunadominate. Nyinyi pia mna sector zenu mnazocontrol lakini ni sectors hafifu. Sasa movie industry yenu inaleta ushuru kwa serikali ya kiasi gani, au imeajiri waigizaji wangapi? Nadhani ni sector ndogo sana hustahili kuitaja.What about bridges?, What about buildings, What about Music industry, What about Movie industry, What about TV stations? etc
Haiwezi bana...let alone Outering
Hahaha umeanza station kesho utakuja na wafanyakazi ndani ya treniStations za sgr ya Kenya hazipatikani mahali popote Afrika nzima. Hata South Africa hawatuwezi kwa hili. Ongeeni mbaya kuhusu train lakini sio stations.
Njoo njombe uone chai inavyolima unajua uniliver wamefungua kiwanda cha chai njombeNdio mnatamba katika sector hizo. Lakini kumbuka hizo sector hazina pesa. Sisi tunatamba katika sector bab kubwa ambako kuna pesa nzito nzito. Angalia katika air transport. Angalia road transport from Mombasa to Kampala. Angalia Flower, Vegetable, Tea and textile export. Angalia remittance by Kenyans living abroad. Angalia pipeline ya ksh 48 billion ($480 million) kutoka Mombasa to Nairobi, tulizindua jana na inauwezo wa kupump lita milioni moja kila lisaa. Banking sector ya Kenya ndio kubwa zaidi East Africa. Sasa sisi pia tuna baadhi ya sectors ambazo tunadominate. Nyinyi pia mna sector zenu mnazocontrol lakini ni sectors hafifu. Sasa movie industry yenu inaleta ushuru kwa serikali ya kiasi gani, au imeajiri waigizaji wangapi? Nadhani ni sector ndogo sana hustahili kuitaja.
Fly over Moja inafanya JF hakukalikiNi sawa. Hapo kazi tu.
while in Kenya We have interchange roads allover Hadi Country sides...watanzania Kweli ni washamba...Sasa Hawa Watu wakiingia Nairobi watasema nini
Hapo ndio unaskianga mtu anajiongelesha kwa gari ju ya kushangaaWe hujui kuwa sisi middle income tuna pesa ya kununua hizo meli tutakavyoWajamaa mmepeleka Gdp yote ya Tanzania kwa meli na huku hamna hata umeme wa kutosha?
blessed kwenye hatua tupongezane kwenye upuuzi tupeane disNi sawa. Hapo kazi tu.
hapana ni vitu viwili tofauti
Wana sikilizia ku sign team za Bongo.. kesho wata cheza kutafuta mshindi wa tatuinabidi waondoke warudi kwao
huo ni ukweli kabisaNjoo njombe uone chai inavyolima unajua uniliver wamefungua kiwanda cha chai njombe
Maua nenda arusha kuna makampuni yanalima maua yanauza masoko yote duniani
Bank nenda burundi comoro crdb exim iko Djibouti na inamatawi mengi africa huku ikiweka makao yake tanzania kwa bara la africa
Mboga mboga na matunda nenda tanga arusha mbeya itinga kuna mashamba watu wanalima kisasa wanauza nje
TANZANIA tumeingia kwenye uchumi wa kati kwa kushindo kama ripoti ya IMF inavyoonyesha