Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stations za sgr ya Kenya hazipatikani mahali popote Afrika nzima. Hata South Africa hawatuwezi kwa hili. Ongeeni mbaya kuhusu train lakini sio stations.
so ikiwa train za miaka 50 iliopita reli pia so unafkiri station inafaida gani kwako😀😀😀 yani 4b usd mchina anawaletea train za miaka 70 iliopita tena kwa mkopo
 
Juu ya cecafa cup?
mashindano ya peni nane...ilhali football ranking mko no.140!!!!
zero talent republic
kaa ukijua kipimo cha club bora za africa hutumia vigezo viwili tu

1.club bingwa zinazoshiriki kwenye mashindano ya club za africa

2.club bingwa zinazopambana kulingana na ukanda mfano.cecafa na nyinginezo

ila sportpesa kivigeza haina nafasi hata robo hivyo tutaendelea kuwaachia ili nanyie mjisikie vyema na mjifariji
ndiyo maana huwa tunawapa vikosi B
 
Katika ukanda wa afrika mashariki hakuna ligi bora na yenye ushindani na udhamin wa kutosha kama ligi kuu ya Tanzania na ndio maana wachezaji wengi kutoka nchi za jirani huvutiwa na ligi ya Tanzania hata kàtika maendeleo y viwanja ipo juu
 
Money!
IMG_20180709_134036.jpg
 
Katika ukanda wa afrika mashariki hakuna ligi bora na yenye ushindani na udhamin wa kutosha kama ligi kuu ya Tanzania na ndio maana wachezaji wengi kutoka nchi za jirani huvutiwa na ligi ya Tanzania hata kàtika maendeleo y viwanja ipo juu
sio tu viwanja hata kwenye mishahara, ushabiki, msisimuko wa team, sheria pia nzuri, upendo
 
Back
Top Bottom