Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya ndiyo mambo ya wakenya naona COLLO kashaanza kuwa kichaa sasa......inabidi apelekwe milembe.....hiyo thread aliyoianzisha ni kuipotezea tu maumivu huu ni upuuzi wa Collo
Screenshot_2018-07-13-18-05-19-1.jpg
 
Picha ya kwanza inafanana na pale Lugalo uku Dar road imezungukwa na miti na wamedesign garden katkati ya barabara panapendeza sana (New bagamoyo road)...
Hebu tuma hizo picha tuone
 
Wah! Nyinyi watoto sana. Mnajadiliana mtu binafsi alifika wapi kwanza? Hahahahahaaa sasa amewasaidiaje/atawasaidiaje??

WaTZ watu wa AIBU

Big babies! Check your time, y'all should be sleeping right now
 
Hii ni ufala..kwani there is nothing else to talk about apart from Obama...kwani ni Mungu...tusonge bana
 
Wah! Nyinyi watoto sana. Mnajadiliana mtu binafsi alifika wapi kwanza? Hahahahahaaa sasa amewasaidiaje/atawasaidiaje??

WaTZ watu wa AIBU

Big babies! Check your time, y'all should be sleeping right now
usiku mwema lala ukue
 
Back
Top Bottom