ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mm nimekwambia speed ya development ya Tanzania hata mngepewa 40 yrs msingeipata hahhahhah 7.2% unaona ndogo sindio kawaulize wachumi wenu ndio wakueleze vzr sasaSi 2017 mnagrow na 7% bado hakuna difference.. Mngegrow na 50% ndio mngenishtua...Kenya inagrow iyo ndio shida...
Nakutegea vita vya uchaguzi instead ya kutakia jirani Amani inaonyesha Uwivu na Ujinga...ka vile mliniblock juzi