Mimi leo nazunguka mtaa kwa mtaa kupiga picha mpya. Nimepata bonge la camera naona kama vita imeanza upya. Hii camera nitaitumia ipasavyo. Halafu ninanyemelea drone.wakenya wamekimbia battle....picha zimeisha,hawana picha mpya,labda waendelee kuzi-repost zile zilizopo kama walivo fanya hapo awali.
picha zao zote walizoweka kwenye jukwaa hili wanazirudia rudia.
sisi kila siku tunaendelea kuwashangaza kwa kuwaletea picha mpya na maeneo mapya ya jiji zuri na tulivu la dar es salaam.
Annael na ichoboy leo jumamosi tulivu ni siku nzuri ya kuendelea kuwafanyia cyber assault wakenya kwa kuwawekea picha nzuri zaidi za dar,pia tusiache kuwawekea picha za miradi mbalimbali ya ujenzi inayoendelea jijini.
mimi nitajikita ktk kupost picha za maeneo ya kula bata,hilo ni eneo langu ambalo nalimudu vizuri.
Hizi bakora mnawapa jamaa watakimbia kabisa!
For those who think Kenya LAPPPSET..lamu port is dead...I am sorry for you
The construction is on speed with first berth scheduled to be completed next year
![]()
![]()
![]()
![]()
You yourself are always out of topic..before removing a spec on someone's eye remove yours firstbuda,thanks for the information.
i would like to remind you that lamu isn't part of the battle,the battle is dar vs nairobi or vice versa.
let's avoid distorting the thread.
ukileta ile ujinga yako ya mitaa ya kibera,hatutasita kukushughulia haraka ipasavyo.be decent and behave well.Am back Reloaded... You guys blocked me and left your guys who used vulgar language like kadoda and icho....anyway am back for business to give u facts
leta picha za Nairobi acha kulalamika.You yourself are always out of topic..before removing a spec on someone's eye remove yours first
So unaona unaanza mkiingiliwa mnaniblockichoboy na annael,yule chokaraa wa kibera kaja na ID mpya.anajiita colloh-mzii reloaded.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
leta picha za Nairobi,acha kulia kulia hovyo kama mtoto mdogo.So unaona unaanza mkiingiliwa mnaniblock
Mbona hajaleta picha hizo anasubiri nnleta picha za Nairobi,acha kulia kulia hovyo kama mtoto mdogo.
Mbona hajaleta picha hizo anasubiri nn
Ety picha si ata facts naeza leta hapa na every aspect Nairobi is ahead of Tanzania..si ata Dar![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kila akijaribu kutafuta picha mpya kwenye gallery yake,anagundua karibia picha zote zilikwisha postiwa hapo awali....wazee wa ku-repost.