kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
JamiiForums.com na viblog vyao vingine ni vichaka vya kujadili malumbano ya ukabila na mivutano yao ya kisiasa kati ya wakenya wa central,nyanza na rift valley.JF ipo hivi sasa
TOPICS: 990,378
MEMBERS: 388,373
POSTS: 20,301,611
Sasa wewe hapa unaongea na memba hawafiki hata kumi mbona unalalama sana
JamiiForums.com kwa sasa
Discussions: 39,851
Messages: 880,747
Members: 12,103
Inabidi uwe mpole na uwe na adabu.
ndio sababu unakuta wakenya wastaarabu wasiopenda ukabila,wamehamia JF.
you can't gain anything constructive from JamiiForums.com or any kenyan forum.
