Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini land size mko same na naivasha...tumia akili msee
dc173328c204116ce6e5c0dfd2497c27.jpg
Naivasha is not a city we are talking about urban city usibadilishe gear angani tulia baba hahhahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀 una changanyikiwa mapema sana tulia kwanza hahha
 
umekua ukispam ii thread sasa. huna la muhimu isipokua size. oh in other news, some parts or dar is slum are still rural where as Nairobi iko developed and now out of cbd. usituletee mijengo miwili apa ati dar is slum iko developed. Nairobi has the tallest building in East and Central Africa. we now building the Tallest in Africa. watch your steps. Tread carefully
Sisi tushajengwa ndio munajenga kumbe mkidhani tumelala hahhhaha kwenye ongoing projects bongo iache kama uko tayari tuanze hapa hahahhahahahhaha sisi hatuna shida kaz mda wote hahahhahahahhaa hahahhahahha slum za nairobi hujaziona hapo nakuonesha tena hahahha
1200px-Nairobi_slums_area.svg.png
 
Naivasha is not a city we are talking about urban city usibadilishe gear angani tulia baba hahhahahha
Haha na new York ni nini so mnashinda newyork?.. Ata new York na London ikutanishwe mnaishinda land size....so tuseme dar inashinda newyork+london
 
I sometimes fail to see how these topics are tackled here. Mimi huona ushabiki wa kipuzi, Kadonda kazi ni kuyapyap na sijawai ona umepost something constructive about Dar
hukuona zile screenshot za matope ya nairobi nilikuwa na post?.

au unataka nianze kuzi-repost ili muanze kulia kulia na kunibembeleza niache kuwadhalilisha?.
 
Haha na new York ni nini so mnashinda newyork?.. Ata new York na London ikutanishwe mnaishinda land size....so tuseme dar inashinda newyork+london
Kwanza umeelewa naivasha sio city usizuge hap hhahhah hhhahahah sasa kama dar kubwa urban city tusiseme hhahhahaha bado fanyeni kazi punguzeni slum maana area iliojengeka hapo kwenu ni 120 km sq iliobakia 570 km sq ni slums mbona mambo yako wazi tu hapo hhaahahhahaa
1200px-Nairobi_slums_area.svg.png
 
My friend your IQ is too poor to understand some staff...u better keep quiet so that we consider you wise
Ukieleweshwa elewa tunaongelea urban city hahhahahhaa usiwe unaubishi wakijinga urban city ndio topic hahahahaha unaniletea naivasha hahahhahahhaa unachemka bado mapema sana tulia
 
Ukieleweshwa elewa tunaongelea urban city hahhahahhaa usiwe unaubishi wakijinga urban city ndio topic hahahahaha unaniletea naivasha hahahhahahhaa unachemka bado mapema sana tulia
Naivasha ni urban msee na iko na potential ya kua city in the future...sasa wewe nimekuliiza swali na uache ubongolala mnashinda newyork kwa kila ki2 juu land yenu ni kubwa?
 
Haha na new York ni nini so mnashinda newyork?.. Ata new York na London ikutanishwe mnaishinda land size....so tuseme dar inashinda newyork+london
Ndio ni kubwa tena sana ngoja nikuletee link ya dar na neork hahahhahahahhaha hapa hutoki mbona
Screenshot_2017-04-08-09-23-11.png
 
Ukieleweshwa elewa tunaongelea urban city hahhahahhaa usiwe unaubishi wakijinga urban city ndio topic hahahahaha unaniletea naivasha hahahhahahhaa unachemka bado mapema sana tulia
Ata example mzuri ni Kenya na Tanzania..land yenu ni 2 times ya Kenya but economy yenu ni ndogo kushinda kenya
3a0ebfc5a24b5bceaad20dc32f6b8366.jpg
 
ata Algeria na Drc ndio countries biggy in Africa. but take a look at Drc which is also one of the poorest in Africa but rich in natural resources. but wao tunawaelewa wamekuwa na civil wars. Tanzania haijawai kuwa na vita yoyote. Kenya imepigana 2017-2018 but still stood up and picked up from where it left. nyinyi endeleeni kulala
 
Naivasha ni urban msee na iko na potential ya kua city in the future...sasa wewe nimekuliiza swali na uache ubongolala mnashinda newyork kwa kila ki2 juu land yenu ni kubwa?
Haya msikizeni huyu hahahhahha bro kama huna chakuongea siunanyamaza tu Leo naivasha ishakua city serious hahahhahahahahahha aisee kweli mchawwi mpe mwanao amlee hahhahahhaha
 
Sasa unasherekea kuadd wa2 kwa city???? Wewe ni fala walai kuadd wa2 kwa city inaleta congestion, high unemployment etc imgn pop yenu inagrow at over 20% na economy 7% imgn disaster itahappen...mtakua ka lagos hakuna plan kabsa.
Hahhaahaha hio ni akili yako inavofkiri unafkiri uchumi utakua bila kuwepo manpower akili yako wewe naona fupi sana kasome historia ya China uone kwann economy yao imekua
 
ata Algeria na Drc ndio countries biggy in Africa. but take a look at Drc which is also one of the poorest in Africa but rich in natural resources. but wao tunawaelewa wamekuwa na civil wars. Tanzania haijawai kuwa na vita yoyote. Kenya imepigana 2017-2018 but still stood up and picked up from where it left. nyinyi endeleeni kulala
Hata hio DRC ilikua miaka mingi imepita usifkiri DRC ya zaman ni kama ya Leo jifunzenu kuelewa sio kukariri hhahahhaahhaha hii ndio dar ya 2017 my friend utaumiza kichwa bure tu
 
Haya msikizeni huyu hahahhahha bro kama huna chakuongea siunanyamaza tu Leo naivasha ishakua city serious hahahhahahahahahha aisee kweli mchawwi mpe mwanao amlee hahhahahhaha
100 years to come naivasha inaeza kua city na land size haitachange
 
Hahhaahaha hio ni akili yako inavofkiri unafkiri uchumi utakua bila kuwepo manpower akili yako wewe naona fupi sana kasome historia ya China uone kwann economy yao imekua
Inabidi ikue at the same rate ndio isijue disaster sasa imgn mko 5 million sai na 70% slum sasa mkiwa 20 million si 90% watakua slum.
Then Kenya after devolved government itapunguza wa2 Nairobi atleast
 
hukuona zile screenshot za matope ya nairobi nilikuwa na post?.

au unataka nianze kuzi-repost ili muanze kulia kulia na kunibembeleza niache kuwadhalilisha?.
Kwani Nairobi yote ni matope? Acha ujinga. Post something positive about your city. Si screenshots za kijinga hapa
 
Back
Top Bottom