Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Post zote tunajua kazi yako u have 0% content an empty headed dunderhead.
nairobi jiji la wahalifu

12c9b87fe3b0a1e8c5bf5c300f4e4c7c.jpg

If you don't have the answer u just f*ck off
this could be the answer.nairobi jiji la wahalifu.

9300c244af30bbc069d147713b9ec7c5.jpg
 
Lugha anayo tumia huyo mwenzie na mbaya sana
hazifai
Wapo humu wakenya toka 2010 hawajawai kupigwa ban
Na sasa kina kadoda na icho walitumia lugha mbaya but waezi blockiwa....ata icho amesema said anataka vita zikue Kenya...mko xenophobic mnachukia wakenya sana
 
ata Algeria na Drc ndio countries biggy in Africa. but take a look at Drc which is also one of the poorest in Africa but rich in natural resources. but wao tunawaelewa wamekuwa na civil wars. Tanzania haijawai kuwa na vita yoyote. Kenya imepigana 2017-2018 but still stood up and picked up from where it left. nyinyi endeleeni kulala
Du!!
Kenya ipi hiyo
Kweli Jf imevamiwa
 
Du!!
Kenya ipi hiyo
Kweli Jf imevamiwa
huyo nadhani anazungumzia ile vita ya kikabila waliyo pigana na kuuwana wao kwa wao mwaka 2007-8.
wenyewe wanaita post election violence.

halafu hilo hata sio jambo la kujivunia maana ni doa katika taifa.
 
But nyinyi sijui mnafanya nini hapa hii ni forum imetengewa kenya
Hauna mipaka yakuchangia
niwapi umeona Tanzania forums?
Hata wewe mkenya unaweza kwenda kule kuchangia
kuwekwa Kenyan forum siyo kigezo cha wakenya pekee kuchangia .
Jiulize nikwanini Forums za Kenya mada inakaa wiki nzima views 200
wachangiaji 10!!

Kabla ya yote njoo usome hapa
hauta sumbuka

JamiiForums Rules
 
Hauna mipaka yakuchangia
niwapi umeona Tanzania forums?
Hata wewe mkenya unaweza kwenda kule kuchangia
kuwekwa Kenyan forum siyo kigezo cha wakenya pekee kuchangia .
Jiulize nikwanini Forums za Kenya mada inakaa wiki nzima views 200
wachangiaji 10!!

Kabla ya yote njoo usome hapa
hauta sumbuka

JamiiForums Rules
Sasa nyinyi ni wengi kwa forum ya Kenya inaonyesha mko idle sana
 
Sasa nyinyi ni wengi kwa forum ya Kenya inaonyesha mko idle sana
JF ipo hivi sasa

TOPICS: 990,378
MEMBERS: 388,373
POSTS: 20,301,611


Sasa wewe hapa unaongea na memba hawafiki hata kumi mbona unalalama sana
JamiiForums.com kwa sasa
Discussions: 39,851
Messages: 880,747
Members: 12,103

Inabidi uwe mpole na uwe na adabu.
 
Sasa nyinyi ni wengi kwa forum ya Kenya inaonyesha mko idle sana
Kenya forums
inawekwa hai na Watanzania
watanzania ndio walio ileta kenyan forum
bila watanzania kenyan forum itakuwa kama
www.nipate.com , www.JamiiForums.com.com
huko forums zime lala sana
Views hovyo
wachangiaje ndio usiseme

wewe kuwa huru
Kenyan forum naona ililetwa ili watanzania wapate Urahisi wa kujua mazuri na mabaya yakenya au habari kuhusu kenya
bila kuzichanganya.
Anaye taka taarifa kuhusu kenya
anakuja moja kwa moja Kenyan forum
haina maana Wakenya ndio wachangiaji pekee
 
kweli ukishindana na mjinga, atakudrag kwa level yake ya matope
 
cam yenyewe ni baada ya kupiga mtu ngeta jana. lol
Subiri upate mapicha wewe mbona kelele nyingi sana. Nipo kazini sasa hivi nakusanya photos. Next week zitapatikana hapa hapa. Hiyo ilikuwa demo tu.
 
Subiri upate mapicha wewe mbona kelele nyingi sana. Nipo kazini sasa hivi nakusanya photos. Next week zitapatikana hapa hapa. Hiyo ilikuwa demo tu.
endelea kupost upuzi tukucheke. maendeleo yoyote muko nayo Dar, Nairobi has more better, roads, skyscrapers, shopping malls, innovations, humam resource, e.t.c
 
Back
Top Bottom