Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha baby
IMG_1527_placeholder-e1425230444337.png
arusha hamna minazi wewe kenge
 
Katika ukanda wa afrika mashariki hakuna ligi bora na yenye ushindani na udhamin wa kutosha kama ligi kuu ya Tanzania na ndio maana wachezaji wengi kutoka nchi za jirani huvutiwa na ligi ya Tanzania hata kàtika maendeleo y viwanja ipo juu
kweli kabisa
 
Stations za sgr ya Kenya hazipatikani mahali popote Afrika nzima. Hata South Africa hawatuwezi kwa hili. Ongeeni mbaya kuhusu train lakini sio stations.
Mchina station zao ni kama airport hata apo kwenu amewafanyia poa butizo train mnatia aibu
 
Mchina station zao ni kama airport hata apo kwenu amewafanyia poa butizo train mnatia aibu
sasa uone kipi chenye faida kati ya train au station heheh yani unajengewa station nzuri alaf unaletewa gari moshi za miaka 70 iliopita ni sawa na mtu kuvaa vest pekeake bila chupi na suruali alaf atembee barabarani 😀😀😀😀
 
modern marine transport in sub Saharan countries😀😀😀😀😀

azam kilimanjaro 1
mv-kilimanjaro-6.jpg




azam kilimanjaro 2
kilimanjaro-1-night-view.jpg





azam kilimanjaro 3
054-ext1.jpg
kilimanjaroIII-5.jpg




azam kilimanjaro 4
photo1.jpg




azam kilimanjaro 5
IMG_2580.JPG




azam kilimanjaro 6
FB_IMG_1452765403100.jpg
Wajamaa mmepeleka Gdp yote ya Tanzania kwa meli na huku hamna hata umeme wa kutosha?
 
Wajamaa mmepeleka Gdp yote ya Tanzania kwa meli na huku hamna hata umeme wa kutosha?
acha hasira aliekwambia hakuna umeme wa kutosha nani au we unafkiri tunafanya mambo bila akili?😀😀 na siku modern electric train in africa ikianza mwakani ndio mutajua umeme upo au haupo
 
Back
Top Bottom