stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,884
- 27,517
pamoja na VAT lakin wanazidi kuongezeka majirani walitoa VAT lakin bado tu 😀😀😀😀
Nilienda Tarangire sikuamini nilichokuwa nakiona,watalii wanamiminika kama nyuki,na nadhani kuna kipindi wale jamaa huwa wanaelemewa..