asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
HAMPO!Dar HAMPO! HAMPO kwenye radar ya waKenya. Labda WaGanda na WaRwanda
NBO jiji KUU!
HAMPO!Dar HAMPO! HAMPO kwenye radar ya waKenya. Labda WaGanda na WaRwanda
NBO jiji KUU!
waTZ watu wa kukubali hali yao. Watu wa ajabuBaba hata kwenu kubaya tu mimi nahisi ungesema chochote juu ya currently DAR ila naona umeponda mpaka basi, Nairobi imetutukana sana na DAR yetu leo inaenda zaidi ya Nairobi bado hujaona baba!!! Hivi kweli public transport yetu na Nairobi unalinganisha au hukuwahi kwenda Nairobi! Mmmmmmhh haya bhana ila kumbuka kwenu kwenu tu.
Jan. 2017Server za JF mnazijaza aisee.....same pictures over and over
Anyways, my contribution here is this
1) Dar es Salaam and Nairobi are both large cities by African standards, with Dar leading in terms of geographical size and population but Nairobi still ahead economically - that is in Gross Metropolitan Product (GMP) terms
2) Dar es Salaam will have crossed the 10 million residents mark by 2030, joining Kinshasa, Cairo, Lagos, Luanda and Johannesburg to be the only African megacities by then
3) Dar es Salaam will lift the most people out of poverty of any other African city.
4) Proper urban planning will be critical for both Nairobi and Dar es Salaam particularly hapo kwenye urban infrastructure. I have to say Nairobi is kind of ahead of Dar es Salaam in this; the roads there are spacious and not to mention the flyovers and the expressways. Dar es Salaam needs to catchup fast kwenye barabara focus isiwe sana kwenye majengo tu.
5) We need to stop focusing much on our cities and more on our rural population, which comprises over 70% of our populations. I hate to say this but Magufuli's government is not pro-poor as he famously claims it to be!
Aah!Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
..Msifananishe Nairobi na vitu vya kijinga
Alar! UKWELI tangia kitamboNaomba nikuchokoze kidogo Annael ....hehehee.....what do you have to say to this?
View attachment 456011
Asante sana KinyunguUkweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Kinyungu na ukweliMkuu huo ndiyo ukweli Dar bado sana kwa Nairobi na wewe kama umewahi kuwa Nairobi unajua sema hapa mnafurahishana tu. Endeleeni lakini kuburudisha jamvi. Mi nasema kwa uzoefu wangu mkubwa wa miji hii miwili
"NAIROBI kuna ISLAND?"Hizo bra bra hazina naface hapa. Kwani nani hajaishi Nairobi? Unadhani sisi hatuijui Nairobi?
Nimekwambia acha bra bra. Kama hujui kitu kaa kimya sisi tukuletee. Usijifanye mjuaji wakati hujui. Nimekwambi wewe leta references za Nairobi. Wewe unakuja na maneno ya siasa.
Je?
1. Nairobi kuna BRT?
2. Nairobi kuna Island?
3. Nairobi Kuna uwanja mkubwa wa Taifa?
4. Nairobi kuna fish market?
5. Nairobi kuna daraja kama la Nyerere?
6. Nairobi kuna beaches?
7. Vipi kuhusu hotel za Nairobi na za Dar?
Wewe unakuja na bra bra hapa. Tatizo huna exposure. Umetokea porini na kwenda Nairobi. Sasa umerudi dar na huja wahi hata kutembea zaidi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani kwako.

mTZ hapa Hatakama na ukweli mtupuTuache ubishi usio na tija, huwezi kulinganisha dar na Nairobi, labda dar tulinganishe na kisumu (mm ni mtz but sibishi kiashki majinuni)
TUUSAN naona ufahamu wako kaanza kitambo kumbe!Mombasa kunafanana na Paris
Nairobi Tokyo, kisumu London, thika tel Aviv ,voi ni sawa na Seattle, nakuru ni Melbourne
Vyamavingi, maisha yaendelee au sioAnael,huku Kigamboni hakuna kitu, ni blahblah tu, leo tunaambiwa hivi kesho vile.
Anyway, mradi maisha yanaenda, tumeshazoweya hizo talalila.
Vv
Lipingangogolo msema KWELIDar kwa Nairobi itasubili sana tu angalia hata miundo mbinu ukweli wenzetu wapo vizuri tuache kujisifia kwa vitu ambavyo zahili vinajionesha wazi
Parasitology, bacteriology,entomology and are all classified under microbiology(School of Biological and physical sciences ), Blood transfusion is under Biochemistry ( Health Sciences). Telecommunication iko kwa Humanities and social sciences,Computer science, mining(geology) and petroleum iko kwa Physical sciences. Survey, eletrical and eletromechanical iko kwa school of architecture and engineering. Which one don't you see again?Iyo college of health upande wa bachelor of lab blablah mbona sion vitu kibao? Lab mnatoa General, Muhimbili unaweza soma bachelor of lab in either of the following,entomology, parasatilogy,microbiology, blood transfusion (haematology)
Pia sioni bachelor of radiology apo!!
Nikicheki upande wa college of engineering sioni mining,petroleum engineering,Electromechanical ,electronics, telecommunication, computer science nk lol upande wa ardhi Ndio mko tenge kabisa
Alomo wewe mtu wa busaraMmmnh. Kushinda vita vya maneno si kisomo changu. Wacha basi nitulie tuama nitazame. Lakini ukweli haubadiliki. Infrastructure Nairobi over Dar any day. Nightlife nitawapa wanadar lakini tukija mambo serious, hapo tusidanganyane
eddy25r afadhali wewe unasema hospitals.. Juzi tuu they were bragging about BUSES!Haa wabongo walilaaniwa na ujinga ....hospitals !!! Of all the things you can brag about you chose hospitals !!!
Alar! Ndio maana ya povu kumbe?Painful truth is that the Pinnacle development is giving all Tanzanians excruciating pain in its development.
Namna gani hapa?Wewe kwa akili yako huoni kwamba hiyo ni dhihirisho kwamba Dar is poorly planned? Honesty how can you have a residential area right in the middle of town? Halafu unasema eti Dar kila mahali kuna residential apartments? ni mara ngapi tumewaitisha picha za residential apartments za Dar kisha mnatuletea picha za beach apartments kwa wadosi? kubali tu hazipo na kama zipo ni vichache mno for a city so big like Dar.

Kwa hivyo nijitayarishe mapema naezatolewa hapa kupitia BLOCK ama BAN Eeh?Nyinyi ni xenophobic sana...

Wakishapewa ukweli!kumbe nyi danganyikans kazi yenu ni kublock waKenya?!?!


