Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha, UDSM imedominate hapo top 5 miaka karibu mitano hapo nyuma, But the truth is UDSM isn't any better than University of Cape town ama university of KwaZulu Natal, au University of Pretoria au University of Witwatersrand,
Nimepita hapo UoN January what I can see is just huo mto wenye vinyesi unaokatisha katikati ya chuo, harufu ni nzito sana pande hizo.
Fanyeni usafi kwanza ndio mtupigie makelele humi
Are you really saying what you are sure of ? UDSM has never been even in Top 20 in Africa and you are here yapping ati top 5. Even KU beats UDSM hands down. Go and look at recent ranking and confirm for yourself.
 
Wakati brt ni miezi 8 ndio wamepiga Tsh19bln ,manake hadi mwaka unaisha itakua zaidi ya Tsh23bln...
Sasa pants down ur sgr ni haifikii mapato ya brt, I made my self very clear mkanitukana sahv mnaaibika!!
Wacha kutapa leta ya full year, alafu tushaa kwambia last year train ilikua inafanya trips mbili kwa siku sasa ivi inafanya tano kwa siku mwaka huu alafu hapo hatuja gusa cargo.. Juu cargo ndio ita account for 95percent revenues za hii sgr
 
Pesa yote ipo kwa wakikuyu na wakalenjinj, wengine mmejazana kibera,
Have u ever asked yourself why kibera alone has 2.5M residents out of 3.4 m residents of Nairobi?
Hapo bado slums nyingine za Hapo Nai.
The answer is Kenya ina wenyewe, nyie makabwela endeleeni kupost picha za Karen na westlands
So 250,000 has changed to 2.5m?
 
Wacha kutapa leta ya full year, alafu tushaa kwambia last year train ilikua inafanya trips mbili kwa siku sasa ivi inafanya tano kwa siku mwaka huu alafu hapo hatuja gusa cargo.. Juu cargo ndio ita account for 95percent revenues za hii sgr

Ki BRT cha dola million 200 kinashindana na SGR ya Mkenya 😀😀 ukiskia changa la macho ..ndo hili
 
Ki BRT cha dola million 200 kinashindana na SGR ya Mkenya 😀😀 ukiskia changa la macho ..ndo hili
Wacha kua mweupe wewe cargo ata haikua imeanza, tunaongelea passenger train ambayo ni kama 5percent ya revenues za sgr ukijumuisha cargo.
 
Wacha kutapa leta ya full year, alafu tushaa kwambia last year train ilikua inafanya trips mbili kwa siku sasa ivi inafanya tano kwa siku mwaka huu alafu hapo hatuja gusa cargo.. Juu cargo ndio ita account for 95percent revenues za hii sgr
Nani aliwazuia sasa?mm nmezungumza uhalisia ...hata ivyo ni nyie ndio mnajichelewesha
 
Are you really saying what you are sure of ? UDSM has never been even in Top 20 in Africa and you are here yapping ati top 5. Even KU beats UDSM hands down. Go and look at recent ranking and confirm for yourself.
Udsm, UoN ,Makerere are the same ukitaka kupata kitu cha tofauti you must go abroad
 
Ujinga hatupendi
30640919912_a0cbf6205e_b.jpg
 
Udsm, UoN ,Makerere are the same ukitaka kupata kitu cha tofauti you must go abroad
They are not the same my friend. This are Africa ranking from 2016, it's only Makerere and Uon ndio ziko top UDSM is not even in top 20.

2015/2016
Screenshot_20180708-175704.png
Screenshot_20180708-175711.png
Screenshot_20180708-175716.png
Screenshot_20180708-175726.png

2016/2017
Screenshot_20180708-175545.png
Screenshot_20180708-175553.png
Screenshot_20180708-175559.png
Screenshot_20180708-175607.png

2017/2018
Screenshot_20180708-175242.png
Screenshot_20180708-175253.png
Screenshot_20180708-175259.png
Screenshot_20180708-175305.png

2018/2019
Screenshot_20180708-175424.png
Screenshot_20180708-175429.png
Screenshot_20180708-175442.png
Screenshot_20180708-175455.png
 
How can you compare a Uon with 98000 students and 8 campuses na UDSM with 19000 students and 5 campuses ?
 
How can you compare a Uon with 98000 students and 8 campuses na UDSM with 19000 students and 5 campuses ?
Udsm ilikua kubwa sana imezaa Ardhi university and Muhimbili university
Sasa Nyie kelele tu ndio kitu mnaweza
Pale muhimbili ni university of health and allied science Na apo Ardhi inajieleza mambo ya land survey nk, pia hivi majuzi udsm imeongeza school of agricultural Japo ilikua Maalumu kule Sokoine Morogoro...
Jifunze
 
Back
Top Bottom