Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kirikoo ni CBD sio? ndio au la?
Kariakoo CBD
ot%2Bpic-8091_1.jpg
 
Kariakoo ni business area ,nmekwambia kuna maduka yakila aina kule,hotels,apartments,na sehemu zA michezo.....

Majengo mengi chini Ni maduka na floor za juu ni makazi....tatizo ni nn huelewi kiswahili au uwezo wa kuelewa ni mdogo sana, Dar kila mahali kuna residential apartments

Hahahahahahahaha.....
No wonder,

nimependa sana jibu lako
 
lol picture a CBD at the same time a residential area,,, yaani unaenda kirikuu, just the sight peke yake maleso na ma bedsheets zimeanikwa mbele ya ofisi....
alafu ground floor wazee na wamama wamejifunga vikoi.... mwengine ameamka kifua wazi anaenda kupiga mswaki ndani ya CBD
 
CBD peke yake iko dis-organized....

Sasa tukiwaambia mulete CBD munaleta kaarikoo
leteni Surbarbs.... munakimbilia kirikuu

Kirikuu is too small my frenz.... TOO SMALL
😀 😀 😀
 
nawahurumia sana watz wenzangu mnaopoteza muda wenu kumuelimisha/kumuelewesha kolo....huyo dogo ni kichwa nazi aka bongo-lala.

elimu ya kenya haijasaidia kumuondoa katika kundi la wajinga.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

that's kid doesn't dissolve to have decent argument.[emoji23]
 
lol picture a CBD at the same time a residential area,,, yaani unaenda kirikuu, just the sight peke yake maleso na ma bedsheets zimeanikwa mbele ya ofisi....
alafu ground floor wazee na wamama wamejifunga vikoi.... mwengine ameamka kifua wazi anaenda kupiga mswaki ndani ya CBD
Tatizo huna exposure ndio maana mapovu yanakutoka mdomoni. Hivi unajua maana ya CBD na lengo lake ni nini?

Jifunze kwanza maana ya CBD na lengo lake kisha uje hapa siyo kutuaibisha waafrika. {Punguwani wewe}
 
nijibu... karikou ni CBD au Residential Area???
 
lol picture a CBD at the same time a residential area,,, yaani unaenda kirikuu, just the sight peke yake maleso na ma bedsheets zimeanikwa mbele ya ofisi....
alafu ground floor wazee na wamama wamejifunga vikoi.... mwengine ameamka kifua wazi anaenda kupiga mswaki ndani ya CBD

LOL! Acha nicheke kidogo...hiyo ni kali. eti mtu anaenda kupiga mswaki ndani ya CBD! hahaha. LDC baby
 
hahahaha
pole bro.... jichoboy kaona hali si hali, kaingia mitini.
hakuna mtz anayekimbia hii battle....thread tuliianzisha wenyewe so hatuwezi kuimbia...mkiona tupo kimya mjue tupo busy na responsibilities zingine...sisi sio majobless kama ninyi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

BTW it's us who are influencing the trending point of the thread from the first page to the current one.
 
LOL! Acha nicheke kidogo...hiyo ni kali. eti mtu anaenda kupiga mswaki ndani ya CBD! hahaha. LDC baby
hawa jamaa wakicheki news za Kenya hushangaa kwa nini sisi huvaa tai na suti na kuonyesha sura ya kazi ndani ya CBD....

enda CBD yao sasa uwakute wametandika mikeka sijui jamvi nje ya office tower wakiwa vifua wazi wanabarizi
 
Kariakoo ni business area ,nmekwambia kuna maduka yakila aina kule,hotels,apartments,na sehemu zA michezo.....

Majengo mengi chini Ni maduka na floor za juu ni makazi....tatizo ni nn huelewi kiswahili au uwezo wa kuelewa ni mdogo sana, Dar kila mahali kuna residential apartments

Kama kenyata Au trump wanafnya shughuli zao ikulu na kulala apoapo nashangaa wewe unavyoshangaa kariakoo kua na makazi ya watu ni uwezo mdogo wa akili
Wewe kwa akili yako huoni kwamba hiyo ni dhihirisho kwamba Dar is poorly planned? Honesty how can you have a residential area right in the middle of town? Halafu unasema eti Dar kila mahali kuna residential apartments? ni mara ngapi tumewaitisha picha za residential apartments za Dar kisha mnatuletea picha za beach apartments kwa wadosi? kubali tu hazipo na kama zipo ni vichache mno for a city so big like Dar.
 
Back
Top Bottom