tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Unahisi but wako watu makini tayari wameshapewa kazi...anza kutransform shacks zenu apo NBO maana mmekua na maeneo ya hatar binadamu kuishi lakini mnajisahau kama hayawahusuIla naona mkini Consult mtasonga mbele sana. Ideas ambazo niko nazo tunaweza saidiana alafu tuuinue nchi yenu.