Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo
Screenshot_2018-06-25-21-56-10-1.jpg
 
Nafikiri saizi picha zote za NBO zilizomo humu ndani zimewapa just a taste of what it feels like to be NAIROBI (jiji kuu)

Nitawasihi waKenya hamna haja ya kuongeza zingine. Tuwaache Hawa warudie zao wao wenyewe wachoke na kijiji chao.

Tukiongeza picha zingine za NBO ama kurudia mapicha itakua ni kushusha hadhi ya NBO na itafanya jiji kuu kupoteza ladha kama kijiji chao.

Going forward ni kuDeconstruct ujinga wowote utakao letwa hapa, na kulisha Hawa watu FACTS tuu
Huu ndio mtindo going forward.

Tanzagizastans take note.
 
Akili punguani hawezi ona kuwa hiyo 87500kms ndio imevunjwa mara mbili into district and national roads

35000+52581 = 87581

yeye ameweka zote pamoja
Alikuja kubali finally kua wako chini kama nonsense.

92% of your roads are UNPAVED!

AIBU
IMG_20180704_230529_808.jpg
 
At the end of the day

Huwezi linganisha Kenya ama NBO JIJI KUU na TZ ama huo mji wenu

WaKenya hatutaki kushindana na Dar any way WHATSOEVER. dar na TZ wao wanataka kushindana na NBO by ALL MEANS

Levels ndugu!

Saizi kwanza prospects ziko very enticing up north (ETHIOPIA na SOUTH SUDAN) Hao ndio watu tunataka kuhusishwa nao. WaKenya watu wenye kuona mbele. Watu hatari. Watu ambao...
FACTS
 
wewe mjinga sana!!

KENYA itakosaje UNGA na SUKARI??
uko vizuri wewe!

Business men are trying to make a kill!
Wanatafuta pesa na WATAZIPATA hizo pesa wakenya wapende wasipende!!

Hii akili Mtanzania anaweza kua nayo kweli??

WaKenya watu hatari. Watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average African/tanzanian

UMEME! DANGER!!
WaKenya watu hatari
 
Back
Top Bottom