Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tUSHAONA UKWELI BAADA YA jf KUFUNGWA.
umeona enhhh😀😀😀😀
munataka shidana na tanzania wakat clinker inatoka tanzania😛😛😛😛
879C591D-C39F-449B-AA11-A6DFD0E00863.jpeg
 
so have oil but huskii wana njaa nyie njaa inawauwa kila siku dont u have arable land au kwa vile settlers anapanda maua nyie mko radhi kufa njaa😀😀😀😀😀😀
Wameuza mafuta miaka ngapi??

Sisi tumeanza juzi. Nafikiri umeona mtindo.
Kenya pia hatutatambua njaa tukishauza mafuta. Fikiria mbele, ndugu!
 
Wameuza mafuta miaka ngapi??

Sisi tumeanza juzi. Nafikiri umeona mtindo.
Kenya pia hatutatambua njaa tukishauza mafuta. Fikiria mbele, ndugu!
so wewe kwenye arable land munapanda maua badala ya chakula miaka mingap???😀😀😀😀
wazungu wanaua wamasai na ngombe zao wanapanda maua miaka mingap sasa
kenyatta ana hold land of 20m kenyans na hakuna kilimo kinafanyika miak mingap sasa
 
Back
Top Bottom