Your Ignorance makes me Question your Level of Education.ndio akili yako inavokutuma au ni ile mercury iliotiwa kwenye sukari😀😀😀😀 my friend dar is a business center na inategemewa na nchi zipatazo 7 ikiwemo na kenya






Kama ni bei rahisi nioneshe Kama hii inje ya Dar![]()
Ilo Ni daraja lakin la bei rahisi zaidi Dunia nzima
You know It is actually funny that Kibera is actually not growing but Reducing very fast and soon you will have nothing to Cover your ignorance Kibera is Changing for the best.... and that's one thing I like about Kenyamaskini watu wakibera
we deal with our mistakes....& yet again a rude shock is in store for these Danganyikans... Mtajua Hamjui... ]Na wanadhani NBO tunashindana na kijiji cha dar.Your Ignorance makes me Question your Level of Education.
Nairobi is the business and financial centre of
Kenya and East Africa. This is highlighted by the number of companies and organizations headquartered in the city.View attachment 803452View attachment 803454View attachment 803455View attachment 803456View attachment 803457View attachment 803458View attachment 803459
And by the way bado list haijaisha hii ni sample tu... CGTN HQ, UN Africa & Middle East are all in Nairobi.... Tz only Boasts of Kenyan Companies... Kwanza 95% of all Regional and International Companies are in Nairobi and prefer Nairobi as the Best exception of Basing their companies out Of SA. So tumia Akili bro...investors prefer Nairobi more than Dar and Shockingly kila mtu anajua exempt you...

Unajua kujifrahisha sana...nazitajengwa hadi upate ufahamu...Dar kuna Nyumba nyingi sana watu wamefunguka na bizz vyakutosha...Endelea kuomba usiku jua liwakeHapo Dar hizo towers niko sure ni very empty. Mtanzania aweke OCCUPANCY rates za hizi towers za Dar. Nina uhakika occupancy rate iko chini sana. Nani atataka kufanya biashara TZ? Biashara gani kwanza??
Towers ziko za kufurahisha macho za mTZ lakini ndani Hakuna watu. Empty towers
What's your occupancy rate? 9%? 12%? ama 15%?
Sijifurahishi mimi. Already mimi kawaida mcheshi na mwenye furahaUnajua kujifrahisha sana...nazitajengwa hadi upate ufahamu...Dar kuna Nyumba nyingi sana watu wamefunguka na bizz vyakutosha...Endelea kuomba usiku jua liwake
kilimani and upper hill maana majengo ya upper hil yanaonekana aisee nairobi ndogo sana😀😀😛Kilimani View attachment 803354
Kilimani na Upperhill yamepakana yani ukitoka Upperhill unaingia Kilimani. Next question?kilimani and upper hill maana majengo ya upper hil yanaonekana aisee nairobi ndogo sana😀😀😛